Ukipata Nafasi Ya Kubadilisha Sheria Moja Ya Mpira Wa Miguu Ungeitoa Ipi?

manyusi

Mgeni
May 11, 2024
2
1
5
Mambo vipi? Wikiendi si ndio hii hapa na Bila shaka Mnaweza kuwa na mada mbalimbali ambazo mmekua mkijadiliana Kijiweni

Naomba kufahamu hivi "Ukipata Nafasi Ya Kubadilisha Sheria Moja Ya Mpira Wa Miguu Ungeitoa Ipi?"
Ningeongeza kadi ya blue ambayo inamtoa mchezaji aliyefanya faulo nje ya uwanja kwa mda kama vile dk15 then anarudi maana kuna faulo zingine hazistahili kadi nyekundu
 
  • Like
Reactions: Kijiweni
May 11, 2024
6
4
5
Camera za azam zitumike kama VAR magoli mengi yainabiwa kwa visingio vya offside na mpira kutokuvuka mstari.....

Refa akionekana kutoelewana na wachezaji uwanjani abadilshwe kabla mpira kuisha kuna siku refa atauliwa uwanjani.. Pitia ile siku gamondi ni basi tu alozuiliwa na wachezaji wake...


Refa kama hajatoa faida ya foul kwa tukio flani asisimamishe mpira ikiwa timu pinzani inashambulia ...na kama wauguzi wakiingia uwanjani bila ruhusa basi wanastahiri red card moja kwa moja na kupotea uwanjani hapo
 
  • Like
Reactions: Kijiweni
May 11, 2024
6
4
5
Camera za azam situmike kama VAR kwa kuwa magoli mengi yanaibiwa kwa visingizo vya offside na mpira kutokuvuka mstari .... Angali tunaona picha za marudio ya azam hamna offside na boli limevuka mstari..


Marefa wanao oneka kuto elewana na wachezaji uwanjani wapigwe sub kuokoa ugomvi wa aina yoyote baada mechi..


Kama mwamuzi kaona tukio na haja toa faida foul asisimamishe mpira ikiwa kuna timu inashambulia ... Na kama wauguzi wataingia uwanjani bila ruhusa basi watastahili red card na kupotea uwanjani haraka
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

Masagu001

Mgeni
May 11, 2024
3
2
5
Mi naona GOAL LINE TECHNOLOGY (GLT) iwe hivi kwamba mpira unapaswa kutoka wote sio ukiwa nusu uwanjani na nusu nje haujatoka, ndio mpira unapaswa kutoka wote ndo uhesabike umetoka
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

Masagu001

Mgeni
May 11, 2024
3
2
5
Mi naona GOAL LINE TECHNOLOGY (GLT) iwe hivi kwamba mpira unapaswa kutoka wote sio ukiwa nusu uwanjani na nusu nje haujatoka, ndio mpira unapaswa kutoka wote ndo uhesabike umetoka
 
  • Like
Reactions: Kijiweni