Ukipata Nafasi Ya Kutoa Ushauri Mchezaji Nani Aachwe Kwenye Timu Unayoshabikia?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
489
643
125
Msimu wa lii kuu ya NBC kwa mwaka 2023/2024 ndio huo unatamatika huku kila mmoja akiwa ameona kile ambacho timu yake imekivuna kwa msimu huu lakini ndio kipindi ambacho kama timu zinakua na namna ambayo huwa wanaandaa ripoti zao kuhusu usajili wa msimu ujao ambapo hapa ndio sehemu ya kufanikisha mafaniko ya timu kwa msimu unaofuata. Kwako wewe mwana KIJIWENI ukipata nafasi ya kutoa ushauri kwenye timu unayoshabikia MCHEZAJI NANI AACHWE na Kwanini Ungechagua Mchezaji Yupi?