Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ukipata Nafasi Ya Kuzungumza Na Kibu Denis Ungemwambia Nini?
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kwa Mujibu Wa JEMEDARI SAID Ambaye amepost katika kurasa zake za Mitandao ya Kijamii Ameandika:

KIBU DENIS AMETOROKA NCHINI LEO KWENDA NORWAY Mchezaji wa Simba SC KIBU DENIS PROSPER ameitoroka timu yake ya Simba jioni ya leo na kukimbilia nchini Denmark. Kibu ambaye amesajiliwa na Simba kwa mkataba wa miaka 2 na kupokea 400M ameondoka na ndege ya Ethiopia Airline ya saa 10 jioni kupitia Addis Ababa akitumia tiketi ya kwenda pekee (single ticket) bila na kuwa na ya kurudia hali inayotia shaka kwamba huenda asirudi tena nchini. Mchezaji huyo Mtanzania mwenye asili ya Congo DR ambaye alipata uraia wake miaka michache iliyopita ameitia hofu klabu yake kwamba huenda anaenda “KUJILIPUA” kama mkimbizi na asirudi tena ilihali ameshachukua 400M na amekosekana kambini tangu Simba imeanza Pre-season. Wakala anaetambulika na klabu wa mchezaji huyo ambaye Bin Kazumari imetambulishwa kwa jina moja la Yazidu (Mwanasheria) alishapokea mkwanja wake na kusaini karatasi za mkataba na malipo na klabu kitambo, huku katika hali nyingine Simba wakionekana kumkana mtu mwingine yoyote ambaye sio Yazidu kujitangaza kama wakala wa Kibu na wametia shaka huenda kuna mtu yuko nyuma ya mpango wa kumtorosha mchezaji. Picha 3 ni KIBU alivyopita airport “Kininja”, nyingine inaonyesha Visa na mwisho ni passport yake. Simba inafanya jitihada kuhakikisha kijana wao anarejea kambini kujiunga na wenzake.

[QUOTE="Kijiweni, post: 7316, member: 476"] [B]Kwa Mujibu Wa JEMEDARI SAID Ambaye amepost katika kurasa zake za Mitandao ya Kijamii Ameandika: [/B] KIBU DENIS AMETOROKA NCHINI LEO KWENDA NORWAY Mchezaji wa Simba SC KIBU DENIS PROSPER ameitoroka timu yake ya Simba jioni ya leo na kukimbilia nchini Denmark. Kibu ambaye amesajiliwa na Simba kwa mkataba wa miaka 2 na kupokea 400M ameondoka na ndege ya Ethiopia Airline ya saa 10 jioni kupitia Addis Ababa akitumia tiketi ya kwenda pekee (single ticket) bila na kuwa na ya kurudia hali inayotia shaka kwamba huenda asirudi tena nchini. Mchezaji huyo Mtanzania mwenye asili ya Congo DR ambaye alipata uraia wake miaka michache iliyopita ameitia hofu klabu yake kwamba huenda anaenda “KUJILIPUA” kama mkimbizi na asirudi tena ilihali ameshachukua 400M na amekosekana kambini tangu Simba imeanza Pre-season. Wakala anaetambulika na klabu wa mchezaji huyo ambaye Bin Kazumari imetambulishwa kwa jina moja la Yazidu (Mwanasheria) alishapokea mkwanja wake na kusaini karatasi za mkataba na malipo na klabu kitambo, huku katika hali nyingine Simba wakionekana kumkana mtu mwingine yoyote ambaye sio Yazidu kujitangaza kama wakala wa Kibu na wametia shaka huenda kuna mtu yuko nyuma ya mpango wa kumtorosha mchezaji. Picha 3 ni KIBU alivyopita airport “Kininja”, nyingine inaonyesha Visa na mwisho ni passport yake. Simba inafanya jitihada kuhakikisha kijana wao anarejea kambini kujiunga na wenzake. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ukipata Nafasi Ya Kuzungumza Na Kibu Denis Ungemwambia Nini?
Top
Bottom