Ukipata Nafasi Ya Kuzungumza Na Kocha FADLU Utamwambia Nini Kuelekea Mchezo Dhidi Ya CS Constantine?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
471
631
125
Klabu ya Simba iko Algeria kwa ajili ya mchezo wao wa pili wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Constantine ambao utapigwa Disemba, 8 ambapo utapigwa katika Uwanja wa Chahid Hamlaoui saa 11 jioni nchini Algeria ambapo hapa nyumbani itakuwa saa moja usiku.

Kikosi cha Simba kilichosafiri

Makipa

1. Moussa Camara
2. Ally Salim

Mabeki

4. Che Fondoh Malone
5. Karaboue Chamou
6. Abdurazak Hamza
7. Shomari Kapombe
8. Mohamed Hussein
9. Valentin Nouma
10. Kelvin Kijili

Viungo

11. Mzamiru Yassin
12. Debora Fernandes
13. Fabrice Ngoma
14. Ladaki Chasambi
15. Augustine Okejepha
16. Omary Omary
17. Edwin Balua
18. Kibu Denis
19. Jean Charles Ahoua
20. Awesu Awesu

Washambuliaji


21. Leonel Ateba
22. Steven Mukwala

Ukipata Nafasi Ya Kuzungumza Na Kocha FADLU Utamwambia Nini Kuelekea Mchezo Dhidi Ya CS Constantine?
 

kudeba DP

Mpiga Chabo
Dec 5, 2024
2
0
0
Hakika cha kwanza n mwenyez Mungu cha pili ni kulinda angalau wapate sare wasikubali kupoteza
Aachage kujaribujaribu wachezaji kwenye mechi za kutafuta point na aache kung'ang'ania atakama mchezaji amechoka na hana effects kwa mechi ya siku hiyo sub zifanyike kwa wakati sahihi