Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Crypto
Kijiwe cha Matapeli
Ulaghai wa Sarafu za Kidijitali na Jinsi ya Kuepuka Sehemu ya Kwanza
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

1. Ulaghai wa Utoaji Awali wa Sarafu (Initial Coin Offerings)

Utoaji Awali wa Sarafu (ICOs) ni njia ambayo kampuni nyingi za blockchain hutumia ili kuchanga fedha. Ni mbinu iliyoundwa kuakisi Utoaji wa Awali wa Umma (IPO) kwa mujibu wa soko la hisa. Tofauti na IPOs, ICOs haina udhibiti na huendeshwa kimataifa. Pia, kampuni zinazohusika katika ICOs hazitakiwi kutoa maelezo yoyote ya mapato yao na hali yake ya kibiashara. Nyingi ya kammpuni hizi pia hazina maelezo haya.

Katika miaka michache iliyopita, wawekezaji wameweka takriban dola bilioni 10 kwa ICOs. Katika 2017, Block.one iliweza kuchangisha zaidi ya dola bilioni 4 kutoka kwa wawekezaji. Hii ni robo ya kiasi ambacho Alibaba walizalisha kutokana na IPO yake katika 2014. Telegram, program maarufu ya ujumbe, iliweza kuchangisha zaidi ya dola bilioni 1.7 katika ICO.

Kwa bahati mbaya, watu wengi waliowekeza fedha zao katika baadhi ya ICOs walipoteza fedha hizo. Isitoshe, hivi karibuni kampuni ya Block.one ililazimishwa kutatua maswala na Tume ya Kudhibiti Ubadilishanaji wa Hisa ya Marekani (SEC) kwa kufanya kushiriki mauzo ya hisa bila udhibiti.

Sababu inayofanya ICOs kuwa ulaghai ni kwamba hatua za kuzindua huwa rahisi sana. Mtu yeyote anaweza kutumia vielelezo vingi vya ICO ambavyo vinapatikana mtandaoni na kuwadanganya watu. Kwa sababu hii, mwaka 2017, kampuni iitwayo Useless Coin iliweza kupokea zaidi ya dola elfu 54 kutoka kwa wawekezaji. Katika tovuti yake, kampuni hii ilikuwa iliwaambia wawekezaji kwamba ingetumia mapato hayo “kununua vitu fulani.”

Ili kujikinga na ulaghai wa ICO, tunapendekeza kwamba usijihusishe kabisa na shughuli kama hizo. Puuza mitandao inayoonekana kuvutia, timu ya watu wanaoonekana wema kwenye wavuti wao, na bidhaa bandia wanazouza.

[QUOTE="Muwekezaji, post: 139, member: 21"] [HEADING=1]1. Ulaghai wa Utoaji Awali wa Sarafu (Initial Coin Offerings)[/HEADING] [IMG]https://fififinance.com/wp-content/uploads/2019/11/Initial-coin-offering.jpg[/IMG] Utoaji Awali wa Sarafu (ICOs) ni njia ambayo kampuni nyingi za blockchain hutumia ili kuchanga fedha. Ni mbinu iliyoundwa kuakisi Utoaji wa Awali wa Umma (IPO) kwa mujibu wa soko la hisa. Tofauti na IPOs, ICOs haina udhibiti na huendeshwa kimataifa. Pia, kampuni zinazohusika katika ICOs hazitakiwi kutoa maelezo yoyote ya mapato yao na hali yake ya kibiashara. Nyingi ya kammpuni hizi pia hazina maelezo haya. Katika miaka michache iliyopita, wawekezaji wameweka takriban dola bilioni 10 kwa ICOs. Katika 2017, Block.one iliweza kuchangisha zaidi ya dola bilioni 4 kutoka kwa wawekezaji. Hii ni robo ya kiasi ambacho Alibaba walizalisha kutokana na IPO yake katika 2014. Telegram, program maarufu ya ujumbe, iliweza kuchangisha zaidi ya dola bilioni 1.7 katika ICO. Kwa bahati mbaya, watu wengi waliowekeza fedha zao katika baadhi ya ICOs walipoteza fedha hizo. Isitoshe, hivi karibuni kampuni ya Block.one ililazimishwa kutatua maswala na Tume ya Kudhibiti Ubadilishanaji wa Hisa ya Marekani (SEC) kwa kufanya kushiriki mauzo ya hisa bila udhibiti. Sababu inayofanya ICOs kuwa ulaghai ni kwamba hatua za kuzindua huwa rahisi sana. Mtu yeyote anaweza kutumia vielelezo vingi vya ICO ambavyo vinapatikana mtandaoni na kuwadanganya watu. Kwa sababu hii, mwaka 2017, kampuni iitwayo Useless Coin iliweza kupokea zaidi ya dola elfu 54 kutoka kwa wawekezaji. Katika tovuti yake, kampuni hii ilikuwa iliwaambia wawekezaji kwamba ingetumia mapato hayo “kununua vitu fulani.” [B][I]Ili kujikinga na ulaghai wa ICO, tunapendekeza kwamba usijihusishe kabisa na shughuli kama hizo. Puuza mitandao inayoonekana kuvutia, timu ya watu wanaoonekana wema kwenye wavuti wao, na bidhaa bandia wanazouza.[/I][/B] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Crypto
Kijiwe cha Matapeli
Ulaghai wa Sarafu za Kidijitali na Jinsi ya Kuepuka Sehemu ya Kwanza
Top
Bottom