Umeionaje Simba ya NGAO ya Jamii? Unadhani Wapi Kinatakiwa Kufanyiwa Marekebisho?

yusufu

Mpiga Chabo
Aug 11, 2024
2
0
0
Klabu ya soka ya Simba wameibuka washindi wa 3 wa NGAO ya Jamii baada ya kuifunga Coastal Union bao 1 Kwa Sifuri lililofungwa na Salehe Karabaka

Umeionaje Simba ya NGAO ya Jamii? Unadhani Wapi Kinatakiwa Kufanyiwa Marekebisho?
Halafu swali kwa azam hiyo Video Assistance Referee (VAR) ipo ama haipo kwa maana naona kadi na offside zinatembezwa kwa wachezaji ambazo sio za kihalali katika michezo yote iliochezwa kwa mkapa.
 

baba akooo

Mgeni
Aug 11, 2024
8
2
5
Navyoona Mutale ni machachali si hatarii kbsa
Kelvin kijili on 🔥🔥🔥🔥
Ushambuliaj Bado pia kutengeneza nafasi simba hawatengnez
 

dclever

Mpiga Chabo
Aug 11, 2024
2
0
0
Klabu ya soka ya Simba wameibuka washindi wa 3 wa NGAO ya Jamii baada ya kuifunga Coastal Union bao 1 Kwa Sifuri lililofungwa na Salehe Karabaka

Umeionaje Simba ya NGAO ya Jamii? Unadhani Wapi Kinatakiwa Kufanyiwa Marekebisimba bado kabisa
Simba bado sana leo ndyo kabisaa wamezngua safu yaushambuliaji ndiyo ziro kila mtu anatamaa yakushinda congure kwa gori kipa pia kwa zimbwe jr hawa kwangu ndy nimeona wameugusa
 
Aug 15, 2024
1
0
0
Mimi nashauri tumpate forward mwenye asili ya ufungaji kama alivyokuwa asili ya mayele hapo tutafanikiwa tukipata winga Tena wakigeni mwenye kasi kama muthale tutafikia malengo pia tumuache ayoub, Ngoma, Fred,pamoja na onana hapo tukiwasajili wabadala wahao hakika tutafanikiwa Mimi ninaimani na klabu yetu pia nashauri mukwala tumvumilie ninaamini anakitu