Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema hakutakuwa na matumizi ya VAR kwenye msimu huu wa Ligi Kuu mpaka kutakapokuwa na uhakika wa kutosheleza mechi zote kutumia VAR.
Amesema VAR inaweza ikatumika katika mashindano yanayojumuisha mechi chache kama vile Ngao ya Jamii.
Amesema VAR inaweza ikatumika katika mashindano yanayojumuisha mechi chache kama vile Ngao ya Jamii.