Umeipokeaje Kauli Hii Ya Rais Wa TFF Kuhusu Kutokutumika Kwa VAR Msimu Huu?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
344
473
25
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema hakutakuwa na matumizi ya VAR kwenye msimu huu wa Ligi Kuu mpaka kutakapokuwa na uhakika wa kutosheleza mechi zote kutumia VAR.

Amesema VAR inaweza ikatumika katika mashindano yanayojumuisha mechi chache kama vile Ngao ya Jamii.
 
Mackson

Mgeni
Jun 12, 2024
9
2
5
Shida ipo kwa wataalamu wa hiyo VAR bongo wapo? Hrf kwa ligi ya bongo ni ndogo sana potelea mbali hatutaki VAR
 
Suleiman

Mgeni
Jul 9, 2024
7
3
5
Ameeleweka
Mfano var itume uwanja wa majaliwa wa Azam na kwa mkapa hivyo viwanja vingine visitumie var
Hayo makosa ya kibinadam yatatuliwaje
 
*Daniel*

Mgeni
Sep 25, 2024
14
9
5
Mimi namuunga mkono kwakua nikweli hatuwez kuweka VAR Kwenye viwanja vyote, ila wawazingatie marefa kwasasa hasa yule wa gem ya jana ya mtani
 
giftgrecious

Mpiga Chabo
Sep 30, 2024
1
0
0
cha kufanya marefa wawekewe sheria itakayo wabana atakae chezesha mpira kwa kuangalia masirah ya timu, achukuliwe sheria
 
MajawaG

Mpiga Chabo
Sep 30, 2024
1
0
0
VAR ni muhimu ila sema hatuna wataalamu wa kutosha na miundombinu rafiki all over the country!
Ila acha makosa ya kibinadamu yaendelee na BONGO SIHAMI
 
Roy Creation

Mgeni
Jun 16, 2024
12
2
5
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema hakutakuwa na matumizi ya VAR kwenye msimu huu wa Ligi Kuu mpaka kutakapokuwa na uhakika wa kutosheleza mechi zote kutumia VAR.

Amesema VAR inaweza ikatumika katika mashindano yanayojumuisha mechi chache kama vile Ngao ya Jamii.
Issue hapo ameogopa tu kusema shirikisho halina fedha za ku-distribute VAR Nchi nzima ndo maana anasema zitatumika kweny mashindano ya mechi chache also wataalamu hakuna since siasa ya VAR ianze sijaona yakitolewa mafunzo juu ya matumizi ya VAR kwa marefa
 
Young Teflon

Mgeni
May 2, 2024
12
5
6
Boko dovya
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema hakutakuwa na matumizi ya VAR kwenye msimu huu wa Ligi Kuu mpaka kutakapokuwa na uhakika wa kutosheleza mechi zote kutumia VAR.

Amesema VAR inaweza ikatumika katika mashindano yanayojumuisha mechi chache kama vile Ngao ya Jamii.
Matatizo ya waamuzi katika michezo hii michache tu tayari yameanza kutungiwa taarabu. 🤕🤔😒 TFF
 
amriabdallah

Mpiga Chabo
Oct 1, 2024
1
0
0
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema hakutakuwa na matumizi ya VAR kwenye msimu huu wa Ligi Kuu mpaka kutakapokuwa na uhakika wa kutosheleza mechi zote kutumia VAR.

Amesema VAR inaweza ikatumika katika mashindano yanayojumuisha mechi chache kama vile Ngao ya Jamii.
Sasa ilikuwa Haina maana kutuandaa azamu kwamba msimu huu kutakuwa na VAR wakati wanajuwa haitoweza kufika kwa 1000
 
yudah

Mpiga Chabo
Oct 2, 2024
1
0
0
Pana shaka hizo VAR walipewa bure, asa wao na akili zao timamu walinunua VAR mbili na wanajua viwanja vya ligi kuu vipo 8+