Umelionaje Kundi Alilopangwa Simba? Una Maoni Gani Mwana Kijiweni?

Noelzm

Mgeni
Oct 2, 2024
9
4
5
Aaaaahhh kundi la kifo hili, waarabu wawili in the same group.........😂😂😂
Ila litawafanya Simba sc kua strong na kuwa Bora sanaaaa......see you far Simba sc this season
 

Enck

Mgeni
Sep 18, 2024
13
2
5
simba washindwe wao tyu kundi jepes wakijituma na kupambana watafika mbali zaid ya hapo walipo saiv
 

Mnakane Sr.

Mgeni
Oct 7, 2024
4
1
5
Simba inatakiwa kusimama katika misingi ya Soka,
Kila timu inataka kuvuka hakuna timu MBOVU kiasi cha kuzishinda kwenye media. Simba IKAZE dharau imeleta sare na Coastal