Umeuonaje Usajili Wa Kwanza Wa Wananchi Dirisha Dogo?

Kapeto

Mpiga Chabo
Dec 11, 2024
1
0
0
Klabu ya soka ya Yanga imekamilisha usajili wa mchezaji Israel Patrick Mwenda kwa mkopo wa mwaka mzima kutoka Singida Black Stars

Umeuonaje Usajili Wa Kwanza Wa Wananchi Dirisha Dogo kwa kumchukua ISRAEL MWENDA?

View attachment 1645
Nilichogundua yanga wamezidiwa na simba kwenye scout basi tu wanawakodolea macho sna wachezaji wasimba wanashindwaga kuwachukua direct kutokea simba wakitoka tu wanawamendea