Unakubaliana Kiasi Gani Na Waraka Huu Wa JEMEDARI SAID Kuhusu TAIFA STARS?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
273
389
25
MPIRA WETU NI KAMA MSIBA
Ukifiwa watu wanakuja wengi kwako kukusapoti kipindi kigumu unachopitia, unapata nguvu unajikakamua kwakuwa kuna wenzio wamekuja wanakupa maneno mazuri unasahau uhalisia wako unajikuta unacheka unapiga na stori. Baada ya mazishi watu wote wanarudi majumbani kwao unabaki wewe mkeo na watoto, mnajikuta hata mnashindwa kuongea kwa huzuni iliyowatawala kwa msiba, hapo mnakuwa kwenye uhalisia wa majonzi ya kufiwa.

Ligi namba 5 kwa ubora Afrika inakuwepo tunapokuwa na utitiri wa wachezaji kutoka nje ya nchi, uwepo wao unatusahaulisha ukweli wa uwezo wetu kama nchi inapokuja timu ya taifa. Sasa wanapoondoka aidha kwenda kwenye nchi zao au kupisha ratiba ya FIFA tu wakiwa hapahapa nchini wanafanya mazoezi kwenye fukwe zetu za Bahari ya Hindi.

Kile tulichokiona jana pale uwanja wa Benjamin Mkapa ni majonzi ya msiba baada ya akina Pacome, Fuentes, Karabou, Chama, Aziz Ki, Matampi, Camara, Diara, Boka, Ateba, Fernandez, Akaminko, Blanco, etc etc etc ambao wapo kutufariji kwenye msiba kuondoka na kutuachia nchi yetu na hapo ndipo tunapogundua kwamba kumbe tuna msiba na majonzi hutawala.

Kuna mambo meengi jana yameongewa baada ya kutopata ushindi wapo wanaosema makocha, wapo wanaosema upangaji wa timu, wapo wanaosema maandalizi, wapo wanaosema kutokuwepo kwa baadhi ya wachezaji, etc etc. Wachache sana wamesema kuhusiana na ubora wa wapinzani tuliocheza nao, wengi wamewaona wa kawaida sana. Nimejiuliza lini mara ya mwisho timu ya Taifa ya Tanzania imeifunga Misri tena kwenye mashindano? Ethiopia wao mara ya mwisho kuifunga Misri ni 9 Juni 2022 mabao 2-0, bila kujali matokeo mengine hapo katikati. Nimetoa tu huo mfano wa mechi za group stage ambapo mchezo wa marejeo Ethiopia walipoteza 1-0. Kwahiyo wapinzani sio wanyela kama wengi wanavyodhani.

Bado nasisitiza mpira wetu ni kama msiba, lundo la wachezaji wa kigeni linatusahulisha majonzi ya kufiwa ambayo tunayo. Tuanzishe mjadala wa kitaifa kuhusiana na hili jambo, hatuwezi kukwepa uwepo wa wachezaji wa nje, lakini tutafute namna nzuri ya kuwa nao. Sio kama sasa wachache wanaitwa timu zao za Taifa tena wengine wameanza kuitwa kupitia ligi yetu.

BIN KAZUMARI MTIPA (The voice of the voiceless)
 
Munobwa

Mgeni
Sep 3, 2024
4
1
5
Yaanii upo nyumbanii walinzii wanazidi viungo na washambuliajii?
Badoo kichwa changu kinawazaa uwendawazimu wa awamu ya pilii.
Kwani musiba si Kuna muda unaishaa na maishaa yanaanza upya kwa ufasahaa,Kama Ni musiba utaishaa lini huoo msiba???
 
baba akooo

Mgeni
Aug 11, 2024
8
2
5
Sem kwl lundo la wachezaji wazur wakigeni liatufarij lkin kiwango cha timu ya taifa Bado kidogo sabab hpat ata Radha ya kuangalia game ya timu taifa huoni mipango lkin Kwa clubs unaona kbc mipango inasetiwa vzur mpira unaenda kwenye njia zake nk
 
Jackson@kaiza

Mpiga Chabo
Aug 9, 2024
2
0
0
Mimi nafikili kwanza yuko sawa na nimpongeze kwa Hoja Nzuri Za kimichezo lakin kabla hatujalaumu uwepo wa wachezaji wa kigen lazima nchi Kama nchi iwe na mikakati ya muda mrefu na mfupi Kama ifuatavyo
01: Mfano ukiangalia kikosi cha timu ya taifa hakieleweki Mara Leo kaitwa uyu Mara kesho kaachwa hii inaleta picha gan taifa Kama taifa haina kikosi cha kuaminika na hakuna mpango wa muda mrefu wa taifa au kwenye mpira tunasema hakuna dira ya mpira maana sisi tunaita tuu kulingana na mtazamo wetu na kiwango cha wachezaji kwa wakati huo,
 
Rweyemamu

Mgeni
Jun 9, 2024
15
4
5
Yeye sio wa kwanza kuona ili na sio wa kwanza kulalamika,shida sioni mtu anayetoa solution,wote ni lawama tu,binafsi naona tumeshakosea lkn hatujachelewa, Serikali kupitia TFF wawekeze kwenye academy tuwe na vjana wengi kwenye izo academy, tuwe na makocha wengi waajiriwe kuanzia shule za msingi kwa ajili ya kufundisha soka tu na sio masomo mengine,Tukiwa na academy walau kumi tunaweza kuanzia hapo bila ivyo tutaendelea kulia tu,tusitake shortcut na kukwepa ukweli.
 
Rhino

Mpiga Chabo
May 8, 2024
9
0
0
MPIRA WETU NI KAMA MSIBA
Ukifiwa watu wanakuja wengi kwako kukusapoti kipindi kigumu unachopitia, unapata nguvu unajikakamua kwakuwa kuna wenzio wamekuja wanakupa maneno mazuri unasahau uhalisia wako unajikuta unacheka unapiga na stori. Baada ya mazishi watu wote wanarudi majumbani kwao unabaki wewe mkeo na watoto, mnajikuta hata mnashindwa kuongea kwa huzuni iliyowatawala kwa msiba, hapo mnakuwa kwenye uhalisia wa majonzi ya kufiwa.

Ligi namba 5 kwa ubora Afrika inakuwepo tunapokuwa na utitiri wa wachezaji kutoka nje ya nchi, uwepo wao unatusahaulisha ukweli wa uwezo wetu kama nchi inapokuja timu ya taifa. Sasa wanapoondoka aidha kwenda kwenye nchi zao au kupisha ratiba ya FIFA tu wakiwa hapahapa nchini wanafanya mazoezi kwenye fukwe zetu za Bahari ya Hindi.

Kile tulichokiona jana pale uwanja wa Benjamin Mkapa ni majonzi ya msiba baada ya akina Pacome, Fuentes, Karabou, Chama, Aziz Ki, Matampi, Camara, Diara, Boka, Ateba, Fernandez, Akaminko, Blanco, etc etc etc ambao wapo kutufariji kwenye msiba kuondoka na kutuachia nchi yetu na hapo ndipo tunapogundua kwamba kumbe tuna msiba na majonzi hutawala.

Kuna mambo meengi jana yameongewa baada ya kutopata ushindi wapo wanaosema makocha, wapo wanaosema upangaji wa timu, wapo wanaosema maandalizi, wapo wanaosema kutokuwepo kwa baadhi ya wachezaji, etc etc. Wachache sana wamesema kuhusiana na ubora wa wapinzani tuliocheza nao, wengi wamewaona wa kawaida sana. Nimejiuliza lini mara ya mwisho timu ya Taifa ya Tanzania imeifunga Misri tena kwenye mashindano? Ethiopia wao mara ya mwisho kuifunga Misri ni 9 Juni 2022 mabao 2-0, bila kujali matokeo mengine hapo katikati. Nimetoa tu huo mfano wa mechi za group stage ambapo mchezo wa marejeo Ethiopia walipoteza 1-0. Kwahiyo wapinzani sio wanyela kama wengi wanavyodhani.

Bado nasisitiza mpira wetu ni kama msiba, lundo la wachezaji wa kigeni linatusahulisha majonzi ya kufiwa ambayo tunayo. Tuanzishe mjadala wa kitaifa kuhusiana na hili jambo, hatuwezi kukwepa uwepo wa wachezaji wa nje, lakini tutafute namna nzuri ya kuwa nao. Sio kama sasa wachache wanaitwa timu zao za Taifa tena wengine wameanza kuitwa kupitia ligi yetu.

BIN KAZUMARI MTIPA (The voice of the voiceless)
Sahihi kuna haja ya kujitafakari
 
Rhino

Mpiga Chabo
May 8, 2024
9
0
0
Yaanii upo nyumbanii walinzii wanazidi viungo na washambuliajii?
Badoo kichwa changu kinawazaa uwendawazimu wa awamu ya pilii.
Kwani musiba si Kuna muda unaishaa na maishaa yanaanza upya kwa ufasahaa,Kama Ni musiba utaishaa lini huoo msiba???
Of course yaani formation ya kujilinda unataka ushinde at least wangeeka striker wawili
 
Rhino

Mpiga Chabo
May 8, 2024
9
0
0
Kwa kifupi kwenye timu ya taifa Kuna tatizo kuanzia benchi la ufundi mpaka wachezaji. Yaani wachezaji baadhi hawajitumi kama kwenye timu zao za club, halaf benchi la ufundi sjui wamepangaje mfumo
 
Young Teflon

Mgeni
May 2, 2024
6
2
6
Boko dovya
Inafikirisha sana.
Ila bado ninaona tunahaja ya kukubali kwanza hali tuliyo nayo, alafu ndio tuje kutafakari kwakina nini na wapi pakuanzia hasa mkakati wa muda mrefu na ule wa muda mfupi.
Kweli nilishangaa kuona leftback wakichezeshwa kama ma winga mmmh...!! Inawezekanaje ligi ya timu 16 tunakosa a tipical wings wakuisaidia timu ya taifa .
Anyway usingizi mzito uliowavaa viongozi wa TFF pamoja na wizara ya michezo unahaja ya kukatishwa la sivyo next coming AFCON tutakua watazamaji tu
 
Luciano

Mpiga Chabo
Sep 6, 2024
1
0
0
MPIRA WETU NI KAMA MSIBA
Ukifiwa watu wanakuja wengi kwako kukusapoti kipindi kigumu unachopitia, unapata nguvu unajikakamua kwakuwa kuna wenzio wamekuja wanakupa maneno mazuri unasahau uhalisia wako unajikuta unacheka unapiga na stori. Baada ya mazishi watu wote wanarudi majumbani kwao unabaki wewe mkeo na watoto, mnajikuta hata mnashindwa kuongea kwa huzuni iliyowatawala kwa msiba, hapo mnakuwa kwenye uhalisia wa majonzi ya kufiwa.

Ligi namba 5 kwa ubora Afrika inakuwepo tunapokuwa na utitiri wa wachezaji kutoka nje ya nchi, uwepo wao unatusahaulisha ukweli wa uwezo wetu kama nchi inapokuja timu ya taifa. Sasa wanapoondoka aidha kwenda kwenye nchi zao au kupisha ratiba ya FIFA tu wakiwa hapahapa nchini wanafanya mazoezi kwenye fukwe zetu za Bahari ya Hindi.

Kile tulichokiona jana pale uwanja wa Benjamin Mkapa ni majonzi ya msiba baada ya akina Pacome, Fuentes, Karabou, Chama, Aziz Ki, Matampi, Camara, Diara, Boka, Ateba, Fernandez, Akaminko, Blanco, etc etc etc ambao wapo kutufariji kwenye msiba kuondoka na kutuachia nchi yetu na hapo ndipo tunapogundua kwamba kumbe tuna msiba na majonzi hutawala.

Kuna mambo meengi jana yameongewa baada ya kutopata ushindi wapo wanaosema makocha, wapo wanaosema upangaji wa timu, wapo wanaosema maandalizi, wapo wanaosema kutokuwepo kwa baadhi ya wachezaji, etc etc. Wachache sana wamesema kuhusiana na ubora wa wapinzani tuliocheza nao, wengi wamewaona wa kawaida sana. Nimejiuliza lini mara ya mwisho timu ya Taifa ya Tanzania imeifunga Misri tena kwenye mashindano? Ethiopia wao mara ya mwisho kuifunga Misri ni 9 Juni 2022 mabao 2-0, bila kujali matokeo mengine hapo katikati. Nimetoa tu huo mfano wa mechi za group stage ambapo mchezo wa marejeo Ethiopia walipoteza 1-0. Kwahiyo wapinzani sio wanyela kama wengi wanavyodhani.

Bado nasisitiza mpira wetu ni kama msiba, lundo la wachezaji wa kigeni linatusahulisha majonzi ya kufiwa ambayo tunayo. Tuanzishe mjadala wa kitaifa kuhusiana na hili jambo, hatuwezi kukwepa uwepo wa wachezaji wa nje, lakini tutafute namna nzuri ya kuwa nao. Sio kama sasa wachache wanaitwa timu zao za Taifa tena wengine wameanza kuitwa kupitia ligi yetu.

BIN KAZUMARI MTIPA (The voice of the voiceless)
kipa tu wa timu ya Taifa ni mchezaji wa Akiba kwenye klabu anayotokea aibu kubwa sana wakati wachezaji wa kigeni tumewawekea vigezo kutoka kwenye mataifa yao