Unataka VAR Vipi Kuhusu Miundombinu?

May 27, 2024
14
7
5
Viwanja huna ,
Unafikiria Var ?.
LIgi nzima viwanja vi 3
Tu Ndo vina miundombinu bora
Lupaso,
Chamazi,
Uhuru ( inayokarabatiwa)..
 

De hexane jr

Mgeni
Jun 10, 2024
4
1
5
Yani Tz ni kichwa cha mwenda wazimu
unawaza VAR badala ya kuboresha miundombinu ya viwanja
Kwahiyo Pale MEJA JENARALI ISAMUYO STADIUM napo inafungwa VAR🤣🤣🤣🤣🤣
 

Roby Simba

Mgeni
Jun 11, 2024
21
11
5
VAR Hain maana Kwa saa hv maana hata miundombinu ya viwanja hairidhishi kuwa na VAR kikubwa wangeborasha viwanja kwanza japo wanasema mtu anaesaidia huwezi kumpangia kwahyo tuishi nayo TU kiroho mbaya 🙏🙏
 

B5emanuel

Mpiga Chabo
Jun 14, 2024
2
0
0
Labda tujue kwani ili kuwepo au kutumia VAR unatakiwa uwe umekidhi vigezo gani ?tueleweshane kama kuna sheria inayoeleweka

Mfano kama nina uwezo wa kufunga kamera kwenye nyumba au biashara yangu hata kama ni mbovu kivipi kuna sababu ya kuuliza kwanini nimeweka kamera wakati najua umuhimu wa kamera ?
Naombeni jibu bc