Usajili Simba Wanaanza Na Huyu Hapa

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
278
395
25
SIMBA SC wana jambo lao msimu huu, maafisa wa timu hiyo inaelezwa wametia timu Zambia kufuatilia saini ya winga wa Power Dynamos ambaye amekuwa na msimu mzuri katika ligi hiyo.

Ikumbukwe kuwa msimu ulioisha Simba ilikukutana na Power Dyanamos, katika mchezo wa hatua ya pili wa kufuzu makundi ya Ligi ya Mabingwa na Kinda huyo aliwappa wakati mgumu sana Mohammed Hussein na Shomary Kapombe.

Inaelezwa kwamba muda wowote kuanzia sasa klabu ya Simba itakamilisha usajili wa winga wa Power Dynamos,raia wa Zambia Joshua Mutale (22)

Viongozi wa Simba wako Zambia kukamilisha dili hili, na hii ni kamati mpya ya usajili ya timu hiyo ikiwa tayari ipo kazini.

Msimu uliopita Joshua Mutale alifunga goli 8 kwenye ligi ya Zambia, anapenda kuvaa jezi namba 7 ambayo jezi hiyo huvaliwa na Willy Essomba Onana ambaye, msimu uliopita hakuwa na makali sana.
 
masadu jr

Mgeni
Jun 8, 2024
4
1
5
Simba ituleteee wachezaj imala itupoze machungu
 
Attachments

  • Screenshot_20240425-130119.png
    Screenshot_20240425-130119.png
    794.4 KB · Somwa: 5
Jun 11, 2024
5
1
5
SIMBA SC wana jambo lao msimu huu, maafisa wa timu hiyo inaelezwa wametia timu Zambia kufuatilia saini ya winga wa Power Dynamos ambaye amekuwa na msimu mzuri katika ligi hiyo.

Ikumbukwe kuwa msimu ulioisha Simba ilikukutana na Power Dyanamos, katika mchezo wa hatua ya pili wa kufuzu makundi ya Ligi ya Mabingwa na Kinda huyo aliwappa wakati mgumu sana Mohammed Hussein na Shomary Kapombe.

Inaelezwa kwamba muda wowote kuanzia sasa klabu ya Simba itakamilisha usajili wa winga wa Power Dynamos,raia wa Zambia Joshua Mutale (22)

Viongozi wa Simba wako Zambia kukamilisha dili hili, na hii ni kamati mpya ya usajili ya timu hiyo ikiwa tayari ipo kazini.

Msimu uliopita Joshua Mutale alifunga goli 8 kwenye ligi ya Zambia, anapenda kuvaa jezi namba 7 ambayo jezi hiyo huvaliwa na Willy Essomba Onana ambaye, msimu uliopita hakuwa na makali sana.
Msimu wa makombe πŸ† unakuja 🦁πŸ’ͺ1
 
  • Like
Reactions: carlsberg7

NGUVUMALI

Mgeni
May 20, 2024
26
7
5
SIMBA SC wana jambo lao msimu huu, maafisa wa timu hiyo inaelezwa wametia timu Zambia kufuatilia saini ya winga wa Power Dynamos ambaye amekuwa na msimu mzuri katika ligi hiyo.

Ikumbukwe kuwa msimu ulioisha Simba ilikukutana na Power Dyanamos, katika mchezo wa hatua ya pili wa kufuzu makundi ya Ligi ya Mabingwa na Kinda huyo aliwappa wakati mgumu sana Mohammed Hussein na Shomary Kapombe.

Inaelezwa kwamba muda wowote kuanzia sasa klabu ya Simba itakamilisha usajili wa winga wa Power Dynamos,raia wa Zambia Joshua Mutale (22)

Viongozi wa Simba wako Zambia kukamilisha dili hili, na hii ni kamati mpya ya usajili ya timu hiyo ikiwa tayari ipo kazini.

Msimu uliopita Joshua Mutale alifunga goli 8 kwenye ligi ya Zambia, anapenda kuvaa jezi namba 7 ambayo jezi hiyo huvaliwa na Willy Essomba Onana ambaye, msimu uliopita hakuwa na makali sana.
Sisi Wana simba msimu tunaoingia hatutaki maneno tunahitaji vitendo zaidi kuliko maneno simba nguvu moja
 
  • Like
Reactions: John bosko

John bosko

Mpiga Chabo
Jun 13, 2024
2
0
0
Hakika viongozi wa Simba msimu huu kwenye usajili wafanye kweli usajili unao eleweka tumechoka kukaa kinyonge hakika
 
Sheva Tz