Usajili Wa Simba Tangu 2019 Hauaminiki

Mshua

Mgeni
May 27, 2024
34
24
5
Kwanini usajili wa Simba HAUAMINIKI? Simba wanaweza kusajili wachezaji 7 lakini atakayeonesha kiwango Ni mmoja au hakuna hivi Hawa jamaa wanatumia mfumo gani kupata wachezaji?

Simba kjikite kwenye usajili wa ndani Kama walivyopatikana kina Mohamedi ibrahimu, kichuya, Mzamiru, n.k

Usajili ujao Simba leteni Feisal, Baka, Rudisheni Okwi, na Kuna mnyama pale Kenya anaitwa Omala, , pia tafuta kipa wa viwango Kama kipa wa Yanga