Usiku Wa Tuzo Za TFF Msimu Wa 2023/2024 Ni Leo Unawaambia Nini TFF?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
273
389
25
Leo Agosti Mosi katika ukumbi wa Super Dome, Masaki utakuwa usiku wa tuzo za TFF kwa wanasoka waliofanya vizuri msimu wa 2023/2024 huku ushindani mkubwa upo kwa Aziz Ki wa Yanga na Feisal wa Azam fc, maana hawa wachezaji wawili wameonyesha kiwango cha juu sana msimu uliopita.

Wote wawili wapo kinyaganyiro cha tuzo ya Mchezaji bora wa msimu (MVP),Kiungo bora wa msimu. Je ni nani kuondoka na tuzo hizo?

Ukipata Nafasi Ya Kuzungumza Na waandaaji wa Tuzo ungewaambia nn?
 
Nashy

Mgeni
Jul 15, 2024
12
3
5

Azizi ataondoka nazo cos winer takes all
 
stuadydigason

Mpiga Chabo
Aug 1, 2024
5
0
0
Tanga
Nimependa kuwa pongeza washindi wot walioshirik katik kuipandisha hadhi ya soka let la nbc premuer laguer,pasipo hao asaiv tusingeweza chchte
Wao ni sisi na sisi ni wao
Tuendele wadau wa jukwa hili kwa huungwana Nimefurahi kwa tuzo hii nzuri japo haikuwepo kwa muda sahahii next time naishaushiri TFF kuwa mara leguer inapoisha wanaostahili tuzo wapewe kwa muda husika ahsanteni.......nashuka kweny jukwa hiii kumpongeza Azizi ki stephano kwa tunzo nzuri alioipata na baccar kwa kuw beki bora
So luck🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👏👏👏