Leo Agosti Mosi katika ukumbi wa Super Dome, Masaki utakuwa usiku wa tuzo za TFF kwa wanasoka waliofanya vizuri msimu wa 2023/2024 huku ushindani mkubwa upo kwa Aziz Ki wa Yanga na Feisal wa Azam fc, maana hawa wachezaji wawili wameonyesha kiwango cha juu sana msimu uliopita.
Wote wawili wapo kinyaganyiro cha tuzo ya Mchezaji bora wa msimu (MVP),Kiungo bora wa msimu. Je ni nani kuondoka na tuzo hizo?
Ukipata Nafasi Ya Kuzungumza Na waandaaji wa Tuzo ungewaambia nn?
Wote wawili wapo kinyaganyiro cha tuzo ya Mchezaji bora wa msimu (MVP),Kiungo bora wa msimu. Je ni nani kuondoka na tuzo hizo?
Ukipata Nafasi Ya Kuzungumza Na waandaaji wa Tuzo ungewaambia nn?