UTABIRI Wangu AZAM FC vs SIMBA SC Leo Ni Huu Hapa

manrich

Mpiga Chabo
Sep 26, 2024
1
0
0
Mambo vipi Mwana Kijiweni.. Karibu sana sehemu pekee ambayo Mtaa Unaongea na stori zinapigwa za kutosha
Leo si ndio MZIZIMA DERBY ndani ya New Amaan Complex pale Zanzibar? Karibu utuambie UTABIRI wako ukoje kwenye mchezo w, leo sasa
Mmmhh,, hawana uwezo ila me naona game inaisha timu zote zitakuwa zimefungana,lakini mshindi atakae funga magoli matatu
 

sobriety

Mpiga Chabo
Sep 26, 2024
1
0
0
Mambo vipi Mwana Kijiweni.. Karibu sana sehemu pekee ambayo Mtaa Unaongea na stori zinapigwa za kutosha
Leo si ndio MZIZIMA DERBY ndani ya New Amaan Complex pale Zanzibar? Karibu utuambie UTABIRI wako ukoje kwenye mchezo wa leo sasa