Utamkumbuka Kwa Lipi HENOCK INONGA Kwenye LIGI KUU Ya TANZANIA?

Ehsan

Mpiga Chabo
Jun 25, 2024
2
0
0
Mimi nianze tu Kwa kusema Sidhani km Viongizi wa simba wanajielewa. Tunatoka wachezaj wazuri unaleta madambala
 
Jun 23, 2024
9
2
5
Ni beki Bora
Beki kisiki wa Simba SC na DRC, Henock Inonga Baka ameondoka rasmi Simba SC baada ya kuitumikia Kwa muda wa misimu mitatu

Utamkumbuka Kwa Lipi HENOCK INONGA Kwenye LIGI KUU YA Tanz
Beki kisiki wa Simba SC na DRC, Henock Inonga Baka ameondoka rasmi Simba SC baada ya kuitumikia Kwa muda wa misimu mitatu

Utamkumbuka Kwa Lipi HENOCK INONGA Kwenye LIGI KUU YA Tanzania Bara?
Ni beki mzuri sana nakumbuka katika mafanikio ya Simba misimu hii lazima kuhusishwa