Vipi leo tunawapa mtazamo gani? wote wametoka kusuluhusu mechi zao za mwisho
A Azizi Mgeni Dec 13, 2022 38 26 5 Jan 5, 2023 #2 Nabi said: View attachment 1012 Click to expand... City anawin hii game mapema sana
B Bangala Mgeni Dec 13, 2022 39 24 5 Jan 5, 2023 #3 Nabi said: View attachment 1012 Click to expand... Haaland leo ataua mtu
Z Zawadi Mgeni Nov 4, 2022 41 17 5 Jan 5, 2023 #4 Nabi said: View attachment 1012 Click to expand... Game nyepesi sana kwa City ila ball linadunda Chelsea wanaweza fanya lolote
Nabi said: View attachment 1012 Click to expand... Game nyepesi sana kwa City ila ball linadunda Chelsea wanaweza fanya lolote
M Mgunda Zone Mgeni Nov 4, 2022 83 88 5 Jan 5, 2023 #5 Nabi said: View attachment 1012 Click to expand... Chelsea anashinda hii game simple sana
J jamal Mgeni Nov 4, 2022 148 90 5 Jan 5, 2023 #6 Nabi said: View attachment 1012 Click to expand... Draw hii Haaland atascore
Brenda Mgeni Oct 31, 2022 489 403 5 Dar es salaam Jan 5, 2023 #7 Nabi said: View attachment 1012 Click to expand... Draw itapendeza sana
M McRay Mgeni Nov 4, 2022 185 131 5 Jan 5, 2023 #8 Nabi said: View attachment 1012 Click to expand... Tunatamani Chelsea ashinde ila hii game nyepesi sana kwa City
Nabi said: View attachment 1012 Click to expand... Tunatamani Chelsea ashinde ila hii game nyepesi sana kwa City
C Clara Mgeni Dec 13, 2022 20 6 5 Jan 5, 2023 #9 Nabi said: View attachment 1012 Click to expand... Tutawasaidia Arsenal ikibidi Reactions: Happy
H Happy Mpiga Chabo Dec 13, 2022 8 0 0 Jan 5, 2023 #10 Clara said: Tutawasaidia Arsenal ikibidi Click to expand... Hahaha kwakua mnajua hamtuwezi