1. Nunua hisa za kampuni inayoongozwa kwa Umakini na Uadilifu.
2. Usiongozwe na hisia, Ongozwa na namba
3. Nunua Biashara nzuri kwa bei poa.
4. Usiuze hisa kwasababu ya bei kubadilika
5. Nunua hisa za kampuni inayokua kwa zaidi ya miaka 10 Ijayo
6. Nunua hisa ambazo bei yake ni ndogo kuliko thamani yake!
7. Nunua hisa kwenye kampuni ambayo Unaielewa Biashara yake!