Marcus Rashford ndiye mchezaji wa kwanza kutoka katika ligi tano bora za Ulaya kufikisha mabao 10 katika michuano yote tangu kumalizika kwa Kombe la Dunia.
Marcus, utendaji wake, maendeleo yake. Kuanzia mwanzo wa msimu anakua, na anaendelea kufanya hivyo. Anawajibika kwa hilo, kuendeleza mchakato huu. Kwa roho hii, nadhani hawezi kuzuilika. Halafu inahusu timu kumweka katika nafasi zinazofaa.
Tatizo letu tuna wahype sana wachezaji wetu,Elanga sio type ya United,hana uwezo wa United kabisa,waangalie Garnacho na mwenzake Pillister sijui yule,wale madogo ni perfect for United.
Nadhani wachezaji wengi vijana United wakipata number kidogo wanajiona wanajua tayari kumbe club imeangalia potentiality yao
Yaaaan ata Dalot tumemsahau kidogo wala hatuwaz now days bisaka anakula mbavu ya kulia nyuma Anapiga saafi kabsa,
Mimi siku hz napenda wachezaj ambao watu wana waundervalue Mwanangu MALACIA hv hamumuon? Yule dogo ni Atari sana
Yan ata tukifungwa unaiman kabsa Goli linaludi Sio ile united ya zaman yan mkishafungwa tu dadek shuhuli imeisha
Master ETH atatupeleka nchi ya Ahadi Yan mapaka saa hv tupo kweny mashindano yote 4,
Hakuna sehemu hatupo
Na FA tupo Robo final
Bado EPL top 4
Na EUROPA
Carabao final hiyooo
"Nimefurahishwa na uchezaji na nadhani zaidi ya dakika 90 tuliudhibiti mchezo. Kulikuwa na wakati mmoja ambao ungeweza kubadilisha mchezo na hapo ndipo tunahitaji kuboresha lakini kwa ujumla tuliudhibiti."
"Walibadilisha mfumo na tukawa kama hatukutarajia hilo. Haiwezi kutokea. Hilo bado ni jambo ambalo tunapaswa kujifunza na kuboresha kama timu ikiwa unataka kuwa juu."
"Karibia tuwaache waingie kwenye mchezo na hatuwezi kuruhusu mpinzani kurejea mchezoni wakati tulianza vizuri sana. Tulitawala mchezo kabisa lakini ndani ya wakati mmoja inaweza kubadilika. Tunahitaji kuepuka hilo."
"Ndio lazima tucheze mchezo mmoja [kabla ya fainali]. Tunapaswa kufanya vivyo hivyo, kujiandaa na kupanga mpango mzuri wa mchezo. Wachezaji wanapaswa kuwa makini.