Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Crypto
Cryptocurrency, Tokens and Altcoins
Wajuvi wa cryptocurrency msaada wenu tafadhali
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser
.
Message
<blockquote data-quote="Muwekezaji" data-source="post: 134" data-attributes="member: 21"><p>Kwa bei ya sasa hivi ETH 1 ni sawa na 3798.09 USD. endapo ukanunua ETH za 50$ kwa exchange rate ya muda huu utapata 0.013 ETH. Sasa cha kwanza wallet yako haitakuja kusoma negative. Ila ikitokea Eth imeshuka thamani ili uweze kujua una dollar ngapi muda huo ni unachukua thamani ya 1 ETH in Dollar unazidisha na idadi ya eth unazomiliki wewe. mfano kwa sasa una eth 0.013 ukizidisha na price ya leo 3798.09 USD unapata 50$ ikitokea ETH ikashuka thamani mfano ikashuka hadi eth 1 ikawa inaworth 1200$ ili ujue investment yako inaworth kiasi gani ni utachukua 0.013 utazidisha mara 1200$ utapata 15.6$ na hiyo ndo itakua ile 50$ yako uliyonunua coin itakua imeshuka hadi hapo kwny 15.6$ also kama ikitokea ethereum 1 ikapanda thamani from 3798.09 usd to 4500$ investment yako ya 50$ kwa sasa itakua ni 58.5$. Cha msingi ni buy low and sell high. ikitokea umenunua price ikashuka keep holding your position maana ukiuza utapata hasara. hold your position subiri ipande uza ikipanda. Ila pia ikitokea thamani ya crypto uliyonunua ikashuka kidogo huwa nao huwa unakua wakati mzuri wa kununua tena ili ufanye kitu kianitwa Dollar Cost Averaging tutaongelea hili siku nyingine.</p></blockquote><p></p>
[QUOTE="Muwekezaji, post: 134, member: 21"] Kwa bei ya sasa hivi ETH 1 ni sawa na 3798.09 USD. endapo ukanunua ETH za 50$ kwa exchange rate ya muda huu utapata 0.013 ETH. Sasa cha kwanza wallet yako haitakuja kusoma negative. Ila ikitokea Eth imeshuka thamani ili uweze kujua una dollar ngapi muda huo ni unachukua thamani ya 1 ETH in Dollar unazidisha na idadi ya eth unazomiliki wewe. mfano kwa sasa una eth 0.013 ukizidisha na price ya leo 3798.09 USD unapata 50$ ikitokea ETH ikashuka thamani mfano ikashuka hadi eth 1 ikawa inaworth 1200$ ili ujue investment yako inaworth kiasi gani ni utachukua 0.013 utazidisha mara 1200$ utapata 15.6$ na hiyo ndo itakua ile 50$ yako uliyonunua coin itakua imeshuka hadi hapo kwny 15.6$ also kama ikitokea ethereum 1 ikapanda thamani from 3798.09 usd to 4500$ investment yako ya 50$ kwa sasa itakua ni 58.5$. Cha msingi ni buy low and sell high. ikitokea umenunua price ikashuka keep holding your position maana ukiuza utapata hasara. hold your position subiri ipande uza ikipanda. Ila pia ikitokea thamani ya crypto uliyonunua ikashuka kidogo huwa nao huwa unakua wakati mzuri wa kununua tena ili ufanye kitu kianitwa Dollar Cost Averaging tutaongelea hili siku nyingine. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Crypto
Cryptocurrency, Tokens and Altcoins
Wajuvi wa cryptocurrency msaada wenu tafadhali
Top
Bottom