Wakat wa mungu ndio wakat sahiii Frank

Nabi

Mgeni
Nov 4, 2022
121
124
5
Wakat wa mungu ndio wakat sahiii Frank ameongea na mawakala wake pia amewasiliana na ten moja kwa moja kuwa yupo tayar kuichezea United akiisi Barca akuna sapot juu ya ubora wake
1bd485a9-460d-4a87-80aa-59245262b8ca.jpeg
 

Azizi

Mgeni
Dec 13, 2022
38
26
5
Yaan huyu mbwa simpendi ila kila nikikumbuka ubora wake na timu inahitaji mtu kama yeye basi naishiwa nguvu😂
Alikua anatetea masilai yake jaman tunamuitaji wote tumeona sub ya juz baada ya kutoka ericksen na akaingia done nn alichofanya