
van der Vaart:
“Tutakuwa matatani iwapo Messi atacheza namna hii dhidi yetu (kama alivyocheza jana).... Tuna nafasi kama hatacheza hivi kwa sababu timu nyingine zina wachezaji wa kawaida.”
Van der Vaart ni raia wa Uholanzi na mchezaji wa zamani wa timu ya taifa hilo.
View attachment 717