Baada ya sakata lake la usajili ambalo linaendelea kutokota katika mitandao ya kijamii ISRAH MWENDA anasema
"Nipo kwenye mchakato wa kuvunja mkataba, nyie subirini mtapata taarifa, Singida wapo nje ya makubaliano tuliyokubaliana. Mpira wetu una changamoto sana. Halafu baadae utasikia wazawa wana matatizo"
"Nitaenda wapi sababu dirisha limefungwa? Hela niliyonayo inanitosha kuishi hata misimu minne bila kucheza mpira, kiufupi ni kwamba sina timu"
WanaKIJIWENI Kwa Kauli Hii Mna Lipi La Kumshauri ISRAH MWENDA Kama Watu Wa Boli?