Wanasimba Kauli ya CADENA Mmeichukuliaje?

Bakari

Mgeni
May 27, 2024
27
31
5
KOCHA wa Makipa wa Simba Dani Cadena ametoa ushauri kwa Viongozi wa klabu hiyo. kwamba ili timu hiyo ibadilike inapaswa kuajiri watu wenye uzoefu, bila kuangalia majina yao, na leseni pekee.

Cadena ambaye hivi karibuni alionekana kuanza utaratibu wa kuwaaga mashabiki kwenye mechi za mwishoni, akiwapatia vifaa vyake, inaelezwa kwamba hana mpango wa kuendelea kusalia Simba endapo hakutafanyika mabadiliko.

Cadena alisema kwamba; “Viongozi waondoe watu wengi sio mimi tu bali kila mtu asiyekuwa na uwezo, Simba inahitaji watu wenye taaluma, uwezo mkubwa na uzoefu, sio tu kwa watu wenye majina makubwa, leseni au katoka eneo gani sio hivyo”

Hata hivyo pia kcha huyo wa Makipa alielezea jinsi ambavyo alikataza golikipa wa klabu hiyo Aishi Manula asicheze mchezo wa dabi, kwa sababu alikuwa hajapona vizuri, lakini kocha Mkuu wa kipindi hicho Robertinho akamtaka acheze hiyo mechi, ambayo Simba iliambulia kipigo cha aibu kutoka kwa watani zao 1-5.

“Siku mbili kabla ya mechi, katika kikao na viongozi wa bodi hakuna hata mmoja aliyeniuliza kuhusu hali ya utimamu wa mwili wa Aishi Manula, lakini Robertinho alisema Aishi Manula yuko fiti atacheza”

“Baadae nilienda kuongea na Manula nikamwambia mechi ya Kesho kama unataka kucheza utacheza, lakini najua haupo fiti, mimi ni kocha najua wachezaji wangu, lakini sikushauri acheze kwa sababu nilijua kitakachotokea, na kweli baada ya mechi tulipoteza kwa 1-5.

Ifahamike kwamba Mkataba wa Dani Cadena Simba unamalizika Juni 30, na hana mipango ya kuongeza mkataba mwingine hadi pale mabadiliko yatakapofanyika ndani ya klabu hiyo.
 
jusluiz

Mgeni
Jun 8, 2024
1

Asiye sikia la mkuu huvunjika guu aligoma kusikiliza akaambulia kichapo,aibu na kufukuzwa kaz
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

Robbrygo JR

Mgeni
May 20, 2024
18
10
5
Kuna mda unakuwa km unafiki tu. tungeshinda game haya maneno ucingeyasikia. Tulipoteza Coach hakuongelea hilo, leo baadhi ya viongoz wametoka anasema hilo, je kama wasingetoka kweny nafas zao??
 
  • Sad
  • Like
Reactions: Kijiweni and SAJOKI

Richy

Mgeni
Jun 8, 2024
6
2
5
KOCHA wa Makipa wa Simba Dani Cadena ametoa ushauri kwa Viongozi wa klabu hiyo. kwamba ili timu hiyo ibadilike inapaswa kuajiri watu wenye uzoefu, bila kuangalia majina yao, na leseni pekee.

Cadena ambaye hivi karibuni alionekana kuanza utaratibu wa kuwaaga mashabiki kwenye mechi za mwishoni, akiwapatia vifaa vyake, inaelezwa kwamba hana mpango wa kuendelea kusalia Simba endapo hakutafanyika mabadiliko.

Cadena alisema kwamba; “Viongozi waondoe watu wengi sio mimi tu bali kila mtu asiyekuwa na uwezo, Simba inahitaji watu wenye taaluma, uwezo mkubwa na uzoefu, sio tu kwa watu wenye majina makubwa, leseni au katoka eneo gani sio hivyo”

Hata hivyo pia kcha huyo wa Makipa alielezea jinsi ambavyo alikataza golikipa wa klabu hiyo Aishi Manula asicheze mchezo wa dabi, kwa sababu alikuwa hajapona vizuri, lakini kocha Mkuu wa kipindi hicho Robertinho akamtaka acheze hiyo mechi, ambayo Simba iliambulia kipigo cha aibu kutoka kwa watani zao 1-5.

“Siku mbili kabla ya mechi, katika kikao na viongozi wa bodi hakuna hata mmoja aliyeniuliza kuhusu hali ya utimamu wa mwili wa Aishi Manula, lakini Robertinho alisema Aishi Manula yuko fiti atacheza”

“Baadae nilienda kuongea na Manula nikamwambia mechi ya Kesho kama unataka kucheza utacheza, lakini najua haupo fiti, mimi ni kocha najua wachezaji wangu, lakini sikushauri acheze kwa sababu nilijua kitakachotokea, na kweli baada ya mechi tulipoteza kwa 1-5.

Ifahamike kwamba Mkataba wa Dani Cadena Simba unamalizika Juni 30, na hana mipango ya kuongeza mkataba mwingine hadi pale mabadiliko yatakapofanyika ndani ya klabu hiyo.
Kocha kasema ya kweli simba tunapaswa kuangalia ni watu gani tunaajiri sio kwa majina tu..
 
Steve

Mpiga Chabo
Jun 8, 2024
1
1
0
Hata kabla hajaongea hiyo kauli, Simba SC inahitaji kufanyiwa usafi kuanzia benchi la ufundi, management na katiba kwa ujumla.
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

the director

Mgeni
Jun 5, 2024
159
25
5
Hajakosea, kuongea ukweli ni vizuri sana. Na ukweli siku zote unaonyesha njia iliyo sahihi. Uongozi uliopo kama wataliona hili na wakalifanyia kazi basi mabadiliko yatapatikana ndani ya klabu, ila wakipuuza bas tutegemee kuona Simba ikipotea zaidi hapo badae 🚶🚶🚶
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

Abbymaarifa

Mpiga Chabo
Jun 8, 2024
1
1
0
Tatizo la viongozi na benchi la ufundi kwa ujumla huwa wanashauri kipindi ambacho tayari tumefika pabaya au wanataka kuondoka…tutajifunza kwa makosa yetu mpaka lini🙌
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

kidson_junior_27

Mpiga Chabo
Jun 8, 2024
1
0
0
Kwa mm naona kocha yupo sahihi kabisa yy kasomea na ndio Kaz alioajiriwa ko ilibidi asikilizwe na simba kama hawatofanya mabadiliko kwny uongozi hata wasajili vp msimu ujao tutashuhudia tena wakiendelea na vita ya nafasi ya pili so wafanye mabadiliko tu kwny viongozi
 
masadu jr

Mgeni
Jun 8, 2024
4
1
5
Vzul sana kocha Haina bud Simba ibadilike jaman maumivu tunayo pitia Wanasimba kwa sasa n makubwa yasijiludie msimu ujao 📌📌
 
  • Like
Reactions: SAJOKI
May 29, 2024
3
1
5
Kocha yupo sahihi hawa watani inabidi wafumue viongozi kwanza ndo waje kwa wachezaji Mimi ninauhakika timu ya yanga na wachezaji wote wakipewa simba na wachezaji wa simba walivyo wakaja yanga...yanga inachukua kombe tena inshu ni kuanzia viongozu