Wapenzi wa soka tujifunze kuheshimu juhudi na uwekezaji wa vilabu vidogo, sasa hivi NBCPL sio lelemama. Muwe na adabu

Hammy36

Administrator
Jan 17, 2023
61
60
25
Dar Es Salaam
Timu dhaifu za mikoani msimu huu ni zile zinazocheza kimazoea mfano Namungo, coastal na Kagera Sugar.

Timu kama
  • Mashujaa Fc
  • Pamba
  • Prison
  • Jkt
  • Singida black stars
  • Fountain gate
Tabora Fc

Hizi timu kwa sasa kwa observations zangu baada ya kucheza mechi kadhaa zimeingia kwenye mfuno mapema.

Yeyote akikutana hizi timu ajipange haswa.

Msimu uliopita zilikuwa zikipaki bus tu na kukuacha uzishambulie,

Sasa hivi hali ni tofauti, zinapaki bus zinafunguka kwa mipango na kushambulia kwa ustadi bila kumuogopa mpinzani

Hazibutui hovyo hovyo.

Azam, costal, Namungo kilichowakuta ni kuleta mazoea ya msimu uliopita hawakujua kuwa huu ni msimu mgumu.

Yanga anashinda kwa jasho, huku simba naye kaanza kushinda kwa taabu sana.

Mechi tano zijazo ya 4, 5, 6, 7 na 9 mtabaki mdomo wazi.

Kati ya simba au yanga kuna mmoja ataangusha point za kutosha.

Mtanielewa baadae.

Tujifunze kuheshimu timu ndogo ligi imekomaa hii hamna ushindi wa kirahisi rahisi tena msimu huu.

Mtanielewa baadae
 
*Daniel*

Mgeni
Sep 25, 2024
14
9
5
Nikweli kabisa iyo ikowazi mimi ni shabiki wa yanga daima ila kusema kwl msimu hu wa moto atari jana tumepata ushindi kwa bht sana walikua wanatushambulia kwa mpango na kdg tungepoteza mchezo au droo simba nae ameanza vzr ila nae jana amekoswa ni bht tu kwakua nimkubwa ila kwaile penati kuna kanamna
 
prox

Mgeni
Sep 22, 2024
2
1
5
Ni kweli ila marefa na tff wanaziponda sana hizi timu ndogo...ukizingatia zikicheza na timu kama yanga,azam na simba kama mlivyoona kila mechi ya hizi timu kubwa makosa ya kibinadamu kutoka kwa marefa yanazinyima haki hizo timu...🙇
 
Lukman Ali

Mgeni
May 17, 2024
7
3
5
Usemavyo ni kweli lakini wote hao ni nguvu za soda tuu hao wote mzunguko wa pili watajuta kwa kutumia nguvu nyingi mwanzo hii ni sawa na mashindano ya marathon unatakiwa ukianza uanze kidogo kidogo yule atakae anza kwa kuzipapia mwisho wake anakuwa wa mwisho na yule alie anza kwa kutegea ndio anakuwa wa kwanza hizi timu sahz wanacheza kwa kuzikamia sana timu kubwa lkn itakuja kuwakost baadae ni hilo tuu yangu Mimi
 
netodrummer

Mpiga Chabo
Sep 30, 2024
2
0
0
Timu dhaifu za mikoani msimu huu ni zile zinazocheza kimazoea mfano Namungo, coastal na Kagera Sugar.

Timu kama
  • Mashujaa Fc
  • Pamba
  • Prison
  • Jkt
  • Singida black stars
  • Fountain gate
Tabora Fc

Hizi timu kwa sasa kwa observations zangu baada ya kucheza mechi kadhaa zimeingia kwenye mfuno mapema.

Yeyote akikutana hizi timu ajipange haswa.

Msimu uliopita zilikuwa zikipaki bus tu na kukuacha uzishambulie,

Sasa hivi hali ni tofauti, zinapaki bus zinafunguka kwa mipango na kushambulia kwa ustadi bila kumuogopa mpinzani

Hazibutui hovyo hovyo.

Azam, costal, Namungo kilichowakuta ni kuleta mazoea ya msimu uliopita hawakujua kuwa huu ni msimu mgumu.

Yanga anashinda kwa jasho, huku simba naye kaanza kushinda kwa taabu sana.

Mechi tano zijazo ya 4, 5, 6, 7 na 9 mtabaki mdomo wazi.

Kati ya simba au yanga kuna mmoja ataangusha point za kutosha.

Mtanielewa baadae.

Tujifunze kuheshimu timu ndogo ligi imekomaa hii hamna ushindi wa kirahisi rahisi tena msimu huu.

Mtanielewa baadae
Yaan kwa sasa huhitaji kujiita mkubwa ukubwa utokee baada ya dk90 maana simu zimechanganya atar
 
Suleiman

Mgeni
Jul 9, 2024
7
3
5
Timu dhaifu za mikoani msimu huu ni zile zinazocheza kimazoea mfano Namungo, coastal na Kagera Sugar.

Timu kama
  • Mashujaa Fc
  • Pamba
  • Prison
  • Jkt
  • Singida black stars
  • Fountain gate
Tabora Fc

Hizi timu kwa sasa kwa observations zangu baada ya kucheza mechi kadhaa zimeingia kwenye mfuno mapema.

Yeyote akikutana hizi timu ajipange haswa.

Msimu uliopita zilikuwa zikipaki bus tu na kukuacha uzishambulie,

Sasa hivi hali ni tofauti, zinapaki bus zinafunguka kwa mipango na kushambulia kwa ustadi bila kumuogopa mpinzani

Hazibutui hovyo hovyo.

Azam, costal, Namungo kilichowakuta ni kuleta mazoea ya msimu uliopita hawakujua kuwa huu ni msimu mgumu.

Yanga anashinda kwa jasho, huku simba naye kaanza kushinda kwa taabu sana.

Mechi tano zijazo ya 4, 5, 6, 7 na 9 mtabaki mdomo wazi.

Kati ya simba au yanga kuna mmoja ataangusha point za kutosha.

Mtanielewa baadae.

Tujifunze kuheshimu timu ndogo ligi imekomaa hii hamna ushindi wa kirahisi rahisi tena msimu huu.

Mtanielewa baadae
Kiukweli marefa wanatufelisha Sana sjui
Hii inasababishwa na Nini?