Waraka Wangu Kwa GAMONDI Na Injinia Hersi Nisikuchoshe Na Usinichoshe, Tusichoshane

Hammy36

Guest
Jan 17, 2023
63
61
25
Dar Es Salaam
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!

Binafsi Jana sijashangazwa na matokeo na kipigo kikali kutoka Kwa Tabora United,hilo nililitarajia baada ya kuona Line up kabla ya mechi!,Kitendo Cha kumuanzisha Aziz Ki kwenye mechi ile niliamini kabisa kipigo hakiepukiki!

Gamondi ni Kocha mwenye kiburi mno na ambaye ameendelea kung'ang'ania misimamo ya kijinga ambayo imeendelea kuigharimu Yanga

Nani asiyefahamu Aziz Ki ameshuka kiwango tangu msimu huu uanze?,Ina maana Gamondi hilo halioni?,Kama siyo kiburi ni nini?Aziz Ki anacheza kila mechi Kwa ulazima gani?,Je Yanga Haina namba 10?,Je Pacome na Chama wapo Yanga Kwa kazi gani?
Anaumia Aziz Andambwile unamrudisha Aucho acheze kama Beki!,hivi hata kama Mimi siyo Kocha,Je hivyo ndivyo inakuwaga?,Huyu Kocha katokea wapi?Nilitegemea amuingize Kibwana Shomari halafu atoe Aziz Ki aingie Duke Abuya ili kubalansi timu kwenye ukabaji na uzuiaji ila yeye akafanya anayoyajua yeye!

Ukiachia mbali wachezaji waliokuwa majeruhi ambao Jana hawajacheza lakini unaona kabisa kocha Hana Mbinu mbadala za kuifanya timu ishinde!,huyu huyu kocha ndiye tunaenda nae ligi ya mabingwa?,Kwa ufundishaji huu ni hakika Yanga anaenda kuvuta mkia kwenye Kundi lake!

Najua mashabiki hoya hoya mtanishambulia lakini huu ndiyo ukweli,ukubali ama ukatae!

Huyu Gamondi alimkataa Kocha wa Viungo wa Yanga Youssef Ammar bila sababu za Msingi,Kocha wa Viungo Youssef Ammar alikuwa kocha wa Viungo ambaye aliwajenga wachezaji wa Yanga wakawa na stamina ya Hali ya Juu,angalia Leo wachezaji walivyo magoigoi utadhani huwa hawafanyi mazoezi,yaani hata kukimbia tu wamekuwa wazito utadhani wamefungiwa mawe miguuni!

Aliwahi kusema kocha Youssef Ammar ya kwamba " Kuna uwezekano mkubwa nikaondoka Yanga, lakini Sababu kubwa ikiwa ni Kocha Gamondi,sielewi nini shida lakini yeye ameutaka uongozi niondoke.Nipo tayari kuondoka kama viongozi watakuwa tayari Kwa hilo na siwezi kumsujudia mwanadamu Kwa Sababu ya kazi"

Hadi Leo ninabaki kushangaa ni kwanini Gamondi hakumtaka kocha wa Viungo ambaye aliifanya Yanga Kuwa hatari Kwa fitness?

Gamondi ni mbinafsi sana na ni Kocha mwenye kujiona kila kitu anaweza kukifanya yeye Pasipo uhitaji wa watu wengine,huu ujinga na Ujuaji Sasa ndiyo unamgaharimu na unaenda kuizamisha Yanga!

Baada ya hapo akapendekeza aletewe kocha wa Viungo mwingine, viongozi bila kutilia shaka hila yake Kwa Youssef Ammar wakaamua kumletea kocha huyo,tangu aletwe huyo kocha mpya wa Viungo aitwaye Taibi Lagrouni ni kama wachezaji hali zimepungua na kukosa kabisa fitness!

Kila siku wachezaji wanamejeraha bila sababu za Msingi,sijajua huyo kocha wa Viungo anafanya kazi gani!

Yaani wachezaji hawana fitness ya kutosha,ni kama hawali wakashiba,Aziz Ki ameshuka kiwango yawezekana kabisa sababu zikawa ni Kocha wa Viungo (Hizo sababu nyingine za uswahilini sidhani kama Zina mashiko)

Aziz Ki alichokosa msimu huu ni Fitness tu hakuna kingine,na huu Ujuaji ni kwasababu hakuna kocha kwenye benchi anayeweza kumshauri Gamondi anayeonekana anakichwa kigumu kushaurika kama kambale!

Viongozi wa Yanga ikiwemo Rais wa Yanga,nakuomba huyo Gamondi mfikie makubaliano kabla Hali haijawa mbaya zaidi,siyo kwamba ninachuki binafsi na Gamondi,Bali inapaswa atupishe Yanga ili tuendelee na Project ambayo yeye Kwa Ubinafsi wake anataka kuififisha!

Gamondi kwasasa Hana Mbinu mbadala za kuipatia Yanga ushindi,upangaji wake wa kikosi wapinzani wameshaukariri na ndiyo maana anapokea vipigo!,Msipomfukuza huyo Kocha mtashituka Yanga Yuko nafasi ya 5 au 6,sioni Yanga ikishika hata nafasi ya 3 kama Gamondi ataendelea Kuwa kocha wa Yanga!

Yangu ni hayo tu Kwa Leo!

Matusi na kejeli nimeviandalia gunia la kilo 100,vikijaa napelekea kumwaga chooni ñarudi kutega tena!
 
Nov 8, 2024
1
2
5

Kwel hapo umeongea kitu cha msingi na cha Kwa timu yety
 
Khaleed

Mgeni
Sep 25, 2024

Ukweli mtupu
 
  • Like
Reactions: Paul__Og77

msukuma93

Mgeni
Nov 8, 2024
1
1
5
Hakika umeongea point

Hakika umenena point
 
  • Like
Reactions: Paul__Og77
Nov 8, 2024
1
1
5
Mm

Umeongea vizur vitu baadhi lakini hakuna timu inayoshinda Kila siku gamond huyuhuyu alipokua anashinda tano tano nne nne Kila siku haukonekana kusema hafai kupoteza mechi mbili tu unamkatia tamaa mbona hata msifu uliopita tulifungwa na ihefu lakini azam pia hauwezi ukawa Bora siku zote tumeona hata ulaya uko timu kubwa zinafungwa nne tano na timu ndogo wewe kufungwa mara mbili tu unamkatia tamaa gamond Sasa wewe ndo uachane na kushabikia usilete ubabaifu apa ukataka tuamini maneno yako akili mbinu na kumheshimu mpinzan ivo ndo vitafanya tusonge mbele ila sio kubadilisha makocha
 
  • Like
Reactions: Paul__Og77

Kyoma

Mgeni
May 10, 2024
22
11
5
Msimu huu nilishaona toka ligi inaanza,, huu uchezaji wa wachezaji wa Yanga dahh ni vile tu timu ambazo tulikutana nazo kabla ya jana zilishindwa kutumia vzuri nafasi ila umenena ukweli kabisa
 
  • Like
Reactions: Paul__Og77

MBEYA BOI

Mgeni
Oct 19, 2024
8
2
5
hahahaaa wakati ule gamondi anakuja mlisema kuwa huyu ndio kocha ambae anatakiwa kufundisha team kama yangu leo mnaanza kutoa mapovu ooh hana plan b nyonzo bin vule hahaaaa tulieni dawa iingie !!!! na bado kule kimataifa mta yamba upepo.Yanga inafungwa kwa staili ya dog dog!!!!NB ASALI NI TAMU KULIKO ICE CLEAM
 
  • Like
Reactions: Paul__Og77

issany

Mpiga Chabo
Sep 5, 2024
1
0
0
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!

Binafsi Jana sijashangazwa na matokeo na kipigo kikali kutoka Kwa Tabora United,hilo nililitarajia baada ya kuona Line up kabla ya mechi!,Kitendo Cha kumuanzisha Aziz Ki kwenye mechi ile niliamini kabisa kipigo hakiepukiki!

Gamondi ni Kocha mwenye kiburi mno na ambaye ameendelea kung'ang'ania misimamo ya kijinga ambayo imeendelea kuigharimu Yanga

Nani asiyefahamu Aziz Ki ameshuka kiwango tangu msimu huu uanze?,Ina maana Gamondi hilo halioni?,Kama siyo kiburi ni nini?Aziz Ki anacheza kila mechi Kwa ulazima gani?,Je Yanga Haina namba 10?,Je Pacome na Chama wapo Yanga Kwa kazi gani?
Anaumia Aziz Andambwile unamrudisha Aucho acheze kama Beki!,hivi hata kama Mimi siyo Kocha,Je hivyo ndivyo inakuwaga?,Huyu Kocha katokea wapi?Nilitegemea amuingize Kibwana Shomari halafu atoe Aziz Ki aingie Duke Abuya ili kubalansi timu kwenye ukabaji na uzuiaji ila yeye akafanya anayoyajua yeye!

Ukiachia mbali wachezaji waliokuwa majeruhi ambao Jana hawajacheza lakini unaona kabisa kocha Hana Mbinu mbadala za kuifanya timu ishinde!,huyu huyu kocha ndiye tunaenda nae ligi ya mabingwa?,Kwa ufundishaji huu ni hakika Yanga anaenda kuvuta mkia kwenye Kundi lake!

Najua mashabiki hoya hoya mtanishambulia lakini huu ndiyo ukweli,ukubali ama ukatae!

Huyu Gamondi alimkataa Kocha wa Viungo wa Yanga Youssef Ammar bila sababu za Msingi,Kocha wa Viungo Youssef Ammar alikuwa kocha wa Viungo ambaye aliwajenga wachezaji wa Yanga wakawa na stamina ya Hali ya Juu,angalia Leo wachezaji walivyo magoigoi utadhani huwa hawafanyi mazoezi,yaani hata kukimbia tu wamekuwa wazito utadhani wamefungiwa mawe miguuni!

Aliwahi kusema kocha Youssef Ammar ya kwamba " Kuna uwezekano mkubwa nikaondoka Yanga, lakini Sababu kubwa ikiwa ni Kocha Gamondi,sielewi nini shida lakini yeye ameutaka uongozi niondoke.Nipo tayari kuondoka kama viongozi watakuwa tayari Kwa hilo na siwezi kumsujudia mwanadamu Kwa Sababu ya kazi"

Hadi Leo ninabaki kushangaa ni kwanini Gamondi hakumtaka kocha wa Viungo ambaye aliifanya Yanga Kuwa hatari Kwa fitness?

Gamondi ni mbinafsi sana na ni Kocha mwenye kujiona kila kitu anaweza kukifanya yeye Pasipo uhitaji wa watu wengine,huu ujinga na Ujuaji Sasa ndiyo unamgaharimu na unaenda kuizamisha Yanga!

Baada ya hapo akapendekeza aletewe kocha wa Viungo mwingine, viongozi bila kutilia shaka hila yake Kwa Youssef Ammar wakaamua kumletea kocha huyo,tangu aletwe huyo kocha mpya wa Viungo aitwaye Taibi Lagrouni ni kama wachezaji hali zimepungua na kukosa kabisa fitness!

Kila siku wachezaji wanamejeraha bila sababu za Msingi,sijajua huyo kocha wa Viungo anafanya kazi gani!

Yaani wachezaji hawana fitness ya kutosha,ni kama hawali wakashiba,Aziz Ki ameshuka kiwango yawezekana kabisa sababu zikawa ni Kocha wa Viungo (Hizo sababu nyingine za uswahilini sidhani kama Zina mashiko)

Aziz Ki alichokosa msimu huu ni Fitness tu hakuna kingine,na huu Ujuaji ni kwasababu hakuna kocha kwenye benchi anayeweza kumshauri Gamondi anayeonekana anakichwa kigumu kushaurika kama kambale!

Viongozi wa Yanga ikiwemo Rais wa Yanga,nakuomba huyo Gamondi mfikie makubaliano kabla Hali haijawa mbaya zaidi,siyo kwamba ninachuki binafsi na Gamondi,Bali inapaswa atupishe Yanga ili tuendelee na Project ambayo yeye Kwa Ubinafsi wake anataka kuififisha!

Gamondi kwasasa Hana Mbinu mbadala za kuipatia Yanga ushindi,upangaji wake wa kikosi wapinzani wameshaukariri na ndiyo maana anapokea vipigo!,Msipomfukuza huyo Kocha mtashituka Yanga Yuko nafasi ya 5 au 6,sioni Yanga ikishika hata nafasi ya 3 kama Gamondi ataendelea Kuwa kocha wa Yanga!

Yangu ni hayo tu Kwa Leo!

Matusi na kejeli nimeviandalia gunia la kilo 100,vikijaa napelekea kumwaga chooni ñarudi kutega tena!
Uko sawa
 
Champion_

Mgeni
Sep 4, 2024
6
1
5
😂😂yaani mechi 2 t mmepotez tayr koch hamumtaki. Niliwahi kusem sehem mafankio anayoyapat gamondi ni kutokan na kile alichokianzisha nabi wat wakabisha. Nkafkia mpak kusem nkipew gamond na nabi ck zte nacmam na nabi. Onen sas kinachotolea, tulieeeen bad mapm MTOT KAUTAAAAK😂😂
 
bomb

Mpiga Chabo
Oct 25, 2024
2
0
0
Ila kwanini koch gamondi hamchezeshagi mzize first 11 pia akiwa sub anakuja kuingia dakika za 70+
This is not right 😕 😐
 
hammyb.

Mpiga Chabo
Nov 8, 2024
1
0
0
Kufungwa kidgo tu mmeamza kumtoa kasoro kocha,mbna wkt timu inashinda goli tano tano hamkuwa mnalalamika....itc football bhna punguzeni hisia zenu,hakuna kocha asiefungwa hakuna timu isiyofungwa so em kitulize
 
Edina

Mpiga Chabo
Nov 8, 2024
2
0
0
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!

Binafsi Jana sijashangazwa na matokeo na kipigo kikali kutoka Kwa Tabora United,hilo nililitarajia baada ya kuona Line up kabla ya mechi!,Kitendo Cha kumuanzisha Aziz Ki kwenye mechi ile niliamini kabisa kipigo hakiepukiki!

Gamondi ni Kocha mwenye kiburi mno na ambaye ameendelea kung'ang'ania misimamo ya kijinga ambayo imeendelea kuigharimu Yanga

Nani asiyefahamu Aziz Ki ameshuka kiwango tangu msimu huu uanze?,Ina maana Gamondi hilo halioni?,Kama siyo kiburi ni nini?Aziz Ki anacheza kila mechi Kwa ulazima gani?,Je Yanga Haina namba 10?,Je Pacome na Chama wapo Yanga Kwa kazi gani?
Anaumia Aziz Andambwile unamrudisha Aucho acheze kama Beki!,hivi hata kama Mimi siyo Kocha,Je hivyo ndivyo inakuwaga?,Huyu Kocha katokea wapi?Nilitegemea amuingize Kibwana Shomari halafu atoe Aziz Ki aingie Duke Abuya ili kubalansi timu kwenye ukabaji na uzuiaji ila yeye akafanya anayoyajua yeye!

Ukiachia mbali wachezaji waliokuwa majeruhi ambao Jana hawajacheza lakini unaona kabisa kocha Hana Mbinu mbadala za kuifanya timu ishinde!,huyu huyu kocha ndiye tunaenda nae ligi ya mabingwa?,Kwa ufundishaji huu ni hakika Yanga anaenda kuvuta mkia kwenye Kundi lake!

Najua mashabiki hoya hoya mtanishambulia lakini huu ndiyo ukweli,ukubali ama ukatae!

Huyu Gamondi alimkataa Kocha wa Viungo wa Yanga Youssef Ammar bila sababu za Msingi,Kocha wa Viungo Youssef Ammar alikuwa kocha wa Viungo ambaye aliwajenga wachezaji wa Yanga wakawa na stamina ya Hali ya Juu,angalia Leo wachezaji walivyo magoigoi utadhani huwa hawafanyi mazoezi,yaani hata kukimbia tu wamekuwa wazito utadhani wamefungiwa mawe miguuni!

Aliwahi kusema kocha Youssef Ammar ya kwamba " Kuna uwezekano mkubwa nikaondoka Yanga, lakini Sababu kubwa ikiwa ni Kocha Gamondi,sielewi nini shida lakini yeye ameutaka uongozi niondoke.Nipo tayari kuondoka kama viongozi watakuwa tayari Kwa hilo na siwezi kumsujudia mwanadamu Kwa Sababu ya kazi"

Hadi Leo ninabaki kushangaa ni kwanini Gamondi hakumtaka kocha wa Viungo ambaye aliifanya Yanga Kuwa hatari Kwa fitness?

Gamondi ni mbinafsi sana na ni Kocha mwenye kujiona kila kitu anaweza kukifanya yeye Pasipo uhitaji wa watu wengine,huu ujinga na Ujuaji Sasa ndiyo unamgaharimu na unaenda kuizamisha Yanga!

Baada ya hapo akapendekeza aletewe kocha wa Viungo mwingine, viongozi bila kutilia shaka hila yake Kwa Youssef Ammar wakaamua kumletea kocha huyo,tangu aletwe huyo kocha mpya wa Viungo aitwaye Taibi Lagrouni ni kama wachezaji hali zimepungua na kukosa kabisa fitness!

Kila siku wachezaji wanamejeraha bila sababu za Msingi,sijajua huyo kocha wa Viungo anafanya kazi gani!

Yaani wachezaji hawana fitness ya kutosha,ni kama hawali wakashiba,Aziz Ki ameshuka kiwango yawezekana kabisa sababu zikawa ni Kocha wa Viungo (Hizo sababu nyingine za uswahilini sidhani kama Zina mashiko)

Aziz Ki alichokosa msimu huu ni Fitness tu hakuna kingine,na huu Ujuaji ni kwasababu hakuna kocha kwenye benchi anayeweza kumshauri Gamondi anayeonekana anakichwa kigumu kushaurika kama kambale!

Viongozi wa Yanga ikiwemo Rais wa Yanga,nakuomba huyo Gamondi mfikie makubaliano kabla Hali haijawa mbaya zaidi,siyo kwamba ninachuki binafsi na Gamondi,Bali inapaswa atupishe Yanga ili tuendelee na Project ambayo yeye Kwa Ubinafsi wake anataka kuififisha!

Gamondi kwasasa Hana Mbinu mbadala za kuipatia Yanga ushindi,upangaji wake wa kikosi wapinzani wameshaukariri na ndiyo maana anapokea vipigo!,Msipomfukuza huyo Kocha mtashituka Yanga Yuko nafasi ya 5 au 6,sioni Yanga ikishika hata nafasi ya 3 kama Gamondi ataendelea Kuwa kocha wa Yanga!

Yangu ni hayo tu Kwa Leo!

Matusi na kejeli nimeviandalia gunia la kilo 100,vikijaa napelekea kumwaga chooni ñarudi kutega tena!
Wewe ualitaka je kwa mfano ?hilo limeshapita kafungwa Man city sembuse yanga hebu wapumzishe bhana hakuna team isiyo fungwa duniani ,wewe kila siku hufurahi wewe tu ni kitu ambacho hakiwezekani ,muosha anaoshwa pia ili na yeye ayaonje machungu anayowapaga wenzake,mbio za ubingwa ziko palepale,punguza kuwa kama falisayo mafalisayo walikuwa hawajiamini
 
Edina

Mpiga Chabo
Nov 8, 2024
2
0
0
Pi

Pia poleeee