Waraka Wangu Kwa GAMONDI Na Injinia Hersi Nisikuchoshe Na Usinichoshe, Tusichoshane

ezekield kanyasu

Mpiga Chabo
Nov 8, 2024
2
0
0
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Binafsi Jana sijashangazwa na matokeo na kipigo kikali kutoka Kwa Tabora United,hilo nililitarajia baada ya kuona Line up kabla ya mechi!,Kitendo Cha kumuanzisha Aziz Ki kwenye mechi ile niliamini kabisa kipigo hakiepukiki!
Gamondi ni Kocha mwenye kiburi mno na ambaye ameendelea kung'ang'ania misimamo ya kijinga ambayo imeendelea kuigharimu Yanga
Nani asiyefahamu Aziz Ki ameshuka kiwango tangu msimu huu uanze?,Ina maana Gamondi hilo halioni?,Kama siyo kiburi ni nini?Aziz Ki anacheza kila mechi Kwa ulazima gani?,Je Yanga Haina namba 10?,Je Pacome na Chama wapo Yanga Kwa kazi gani?
Anaumia Aziz Andambwile unamrudisha Aucho acheze kama Beki!,hivi hata kama Mimi siyo Kocha,Je hivyo ndivyo inakuwaga?,Huyu Kocha katokea wapi?Nilitegemea amuingize Kibwana Shomari halafu atoe Aziz Ki aingie Duke Abuya ili kubalansi timu kwenye ukabaji na uzuiaji ila yeye akafanya anayoyajua yeye!
Ukiachia mbali wachezaji waliokuwa majeruhi ambao Jana hawajacheza lakini unaona kabisa kocha Hana Mbinu mbadala za kuifanya timu ishinde!,huyu huyu kocha ndiye tunaenda nae ligi ya mabingwa?,Kwa ufundishaji huu ni hakika Yanga anaenda kuvuta mkia kwenye Kundi lake!
Najua mashabiki hoya hoya mtanishambulia lakini huu ndiyo ukweli,ukubali ama ukatae!
Huyu Gamondi alimkataa Kocha wa Viungo wa Yanga Youssef Ammar bila sababu za Msingi,Kocha wa Viungo Youssef Ammar alikuwa kocha wa Viungo ambaye aliwajenga wachezaji wa Yanga wakawa na stamina ya Hali ya Juu,angalia Leo wachezaji walivyo magoigoi utadhani huwa hawafanyi mazoezi,yaani hata kukimbia tu wamekuwa wazito utadhani wamefungiwa mawe miguuni!
Aliwahi kusema kocha Youssef Ammar ya kwamba " Kuna uwezekano mkubwa nikaondoka Yanga, lakini Sababu kubwa ikiwa ni Kocha Gamondi,sielewi nini shida lakini yeye ameutaka uongozi niondoke.Nipo tayari kuondoka kama viongozi watakuwa tayari Kwa hilo na siwezi kumsujudia mwanadamu Kwa Sababu ya kazi"
Hadi Leo ninabaki kushangaa ni kwanini Gamondi hakumtaka kocha wa Viungo ambaye aliifanya Yanga Kuwa hatari Kwa fitness?
Gamondi ni mbinafsi sana na ni Kocha mwenye kujiona kila kitu anaweza kukifanya yeye Pasipo uhitaji wa watu wengine,huu ujinga na Ujuaji Sasa ndiyo unamgaharimu na unaenda kuizamisha Yanga!
Baada ya hapo akapendekeza aletewe kocha wa Viungo mwingine, viongozi bila kutilia shaka hila yake Kwa Youssef Ammar wakaamua kumletea kocha huyo,tangu aletwe huyo kocha mpya wa Viungo aitwaye Taibi Lagrouni ni kama wachezaji hali zimepungua na kukosa kabisa fitness!
Kila siku wachezaji wanamejeraha bila sababu za Msingi,sijajua huyo kocha wa Viungo anafanya kazi gani!
Yaani wachezaji hawana fitness ya kutosha,ni kama hawali wakashiba,Aziz Ki ameshuka kiwango yawezekana kabisa sababu zikawa ni Kocha wa Viungo (Hizo sababu nyingine za uswahilini sidhani kama Zina mashiko)
Aziz Ki alichokosa msimu huu ni Fitness tu hakuna kingine,na huu Ujuaji ni kwasababu hakuna kocha kwenye benchi anayeweza kumshauri Gamondi anayeonekana anakichwa kigumu kushaurika kama kambale!
Viongozi wa Yanga ikiwemo Rais wa Yanga,nakuomba huyo Gamondi mfikie makubaliano kabla Hali haijawa mbaya zaidi,siyo kwamba ninachuki binafsi na Gamondi,Bali inapaswa atupishe Yanga ili tuendelee na Project ambayo yeye Kwa Ubinafsi wake anataka kuififisha!
Gamondi kwasasa Hana Mbinu mbadala za kuipatia Yanga ushindi,upangaji wake wa kikosi wapinzani wameshaukariri na ndiyo maana anapokea vipigo!,Msipomfukuza huyo Kocha mtashituka Yanga Yuko nafasi ya 5 au 6,sioni Yanga ikishika hata nafasi ya 3 kama Gamondi ataendelea Kuwa kocha wa Yanga!
Yangu ni hayo tu Kwa Leo!
Matusi na kejeli nimeviandalia gunia la kilo 100,vikijaa napelekea kumwaga chooni รฑarudi kutega tena!
 
Eddy de Jr

Mgeni
May 9, 2024
91
16
5
Yanga shida yenu ni COMFORT ZONE. Sasa kuleni mimavi yake,,, mlikuw mnasumbua sana mtaan, saiv mnajificha ficha kama mbwa walioiba mayai, afu akalambwa mboko,,, sasa ndo mtajua nini maana ya VISION na FOCUS,,, fanyeni mambo kwa UHALISIA, na siyo HISIA mtafika mbali.Kwa saivi tuacheni sisi Simba SC tuendelee kuwapa WENYENCHI burudani nzuri ya soka.
 
  • Like
Reactions: Njwinjwi

Njwinjwi

Mpiga Chabo
Nov 8, 2024
4
0
0
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚yaani mechi 2 t mmepotez tayr koch hamumtaki. Niliwahi kusem sehem mafankio anayoyapat gamondi ni kutokan na kile alichokianzisha nabi wat wakabisha. Nkafkia mpak kusem nkipew gamond na nabi ck zte nacmam na nabi. Onen sas kinachotolea, tulieeeen bad mapm MTOT KAUTAAAAK๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
nakumbuka kaka๐Ÿ˜‚
 
Njwinjwi

Mpiga Chabo
Nov 8, 2024
4
0
0
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!

Binafsi Jana sijashangazwa na matokeo na kipigo kikali kutoka Kwa Tabora United,hilo nililitarajia baada ya kuona Line up kabla ya mechi!,Kitendo Cha kumuanzisha Aziz Ki kwenye mechi ile niliamini kabisa kipigo hakiepukiki!

Gamondi ni Kocha mwenye kiburi mno na ambaye ameendelea kung'ang'ania misimamo ya kijinga ambayo imeendelea kuigharimu Yanga

Nani asiyefahamu Aziz Ki ameshuka kiwango tangu msimu huu uanze?,Ina maana Gamondi hilo halioni?,Kama siyo kiburi ni nini?Aziz Ki anacheza kila mechi Kwa ulazima gani?,Je Yanga Haina namba 10?,Je Pacome na Chama wapo Yanga Kwa kazi gani?
Anaumia Aziz Andambwile unamrudisha Aucho acheze kama Beki!,hivi hata kama Mimi siyo Kocha,Je hivyo ndivyo inakuwaga?,Huyu Kocha katokea wapi?Nilitegemea amuingize Kibwana Shomari halafu atoe Aziz Ki aingie Duke Abuya ili kubalansi timu kwenye ukabaji na uzuiaji ila yeye akafanya anayoyajua yeye!

Ukiachia mbali wachezaji waliokuwa majeruhi ambao Jana hawajacheza lakini unaona kabisa kocha Hana Mbinu mbadala za kuifanya timu ishinde!,huyu huyu kocha ndiye tunaenda nae ligi ya mabingwa?,Kwa ufundishaji huu ni hakika Yanga anaenda kuvuta mkia kwenye Kundi lake!

Najua mashabiki hoya hoya mtanishambulia lakini huu ndiyo ukweli,ukubali ama ukatae!

Huyu Gamondi alimkataa Kocha wa Viungo wa Yanga Youssef Ammar bila sababu za Msingi,Kocha wa Viungo Youssef Ammar alikuwa kocha wa Viungo ambaye aliwajenga wachezaji wa Yanga wakawa na stamina ya Hali ya Juu,angalia Leo wachezaji walivyo magoigoi utadhani huwa hawafanyi mazoezi,yaani hata kukimbia tu wamekuwa wazito utadhani wamefungiwa mawe miguuni!

Aliwahi kusema kocha Youssef Ammar ya kwamba " Kuna uwezekano mkubwa nikaondoka Yanga, lakini Sababu kubwa ikiwa ni Kocha Gamondi,sielewi nini shida lakini yeye ameutaka uongozi niondoke.Nipo tayari kuondoka kama viongozi watakuwa tayari Kwa hilo na siwezi kumsujudia mwanadamu Kwa Sababu ya kazi"

Hadi Leo ninabaki kushangaa ni kwanini Gamondi hakumtaka kocha wa Viungo ambaye aliifanya Yanga Kuwa hatari Kwa fitness?

Gamondi ni mbinafsi sana na ni Kocha mwenye kujiona kila kitu anaweza kukifanya yeye Pasipo uhitaji wa watu wengine,huu ujinga na Ujuaji Sasa ndiyo unamgaharimu na unaenda kuizamisha Yanga!

Baada ya hapo akapendekeza aletewe kocha wa Viungo mwingine, viongozi bila kutilia shaka hila yake Kwa Youssef Ammar wakaamua kumletea kocha huyo,tangu aletwe huyo kocha mpya wa Viungo aitwaye Taibi Lagrouni ni kama wachezaji hali zimepungua na kukosa kabisa fitness!

Kila siku wachezaji wanamejeraha bila sababu za Msingi,sijajua huyo kocha wa Viungo anafanya kazi gani!

Yaani wachezaji hawana fitness ya kutosha,ni kama hawali wakashiba,Aziz Ki ameshuka kiwango yawezekana kabisa sababu zikawa ni Kocha wa Viungo (Hizo sababu nyingine za uswahilini sidhani kama Zina mashiko)

Aziz Ki alichokosa msimu huu ni Fitness tu hakuna kingine,na huu Ujuaji ni kwasababu hakuna kocha kwenye benchi anayeweza kumshauri Gamondi anayeonekana anakichwa kigumu kushaurika kama kambale!

Viongozi wa Yanga ikiwemo Rais wa Yanga,nakuomba huyo Gamondi mfikie makubaliano kabla Hali haijawa mbaya zaidi,siyo kwamba ninachuki binafsi na Gamondi,Bali inapaswa atupishe Yanga ili tuendelee na Project ambayo yeye Kwa Ubinafsi wake anataka kuififisha!

Gamondi kwasasa Hana Mbinu mbadala za kuipatia Yanga ushindi,upangaji wake wa kikosi wapinzani wameshaukariri na ndiyo maana anapokea vipigo!,Msipomfukuza huyo Kocha mtashituka Yanga Yuko nafasi ya 5 au 6,sioni Yanga ikishika hata nafasi ya 3 kama Gamondi ataendelea Kuwa kocha wa Yanga!

Yangu ni hayo tu Kwa Leo!

Matusi na kejeli nimeviandalia gunia la kilo 100,vikijaa napelekea kumwaga chooni รฑarudi kutega tena!
Broo, hakuna timu itakayokua na mafanikio muda wote, soka ni biashara ww unavojipanga na kujiandaa kufikia malengo yako kumbuka kuna timu zngne pia zna malengo yaoโ€ฆmnataka mshinde kila siku nyie akina nani broo, anapigwa man u mara 3 mfululizo na kocha hafukuzwi, kipindi gamondi anapiga watu tano tano mlimsifu sana, mkamkazia mamelodi mkiwa na gamondi, akafanya mringe mtaani, leo hafai๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Au huyo kocha wa viungo aliondoka wakati gani labda๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
kisoz

Mpiga Chabo
Nov 8, 2024
1
0
0
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!

Binafsi Jana sijashangazwa na matokeo na kipigo kikali kutoka Kwa Tabora United,hilo nililitarajia baada ya kuona Line up kabla ya mechi!,Kitendo Cha kumuanzisha Aziz Ki kwenye mechi ile niliamini kabisa kipigo hakiepukiki!

Gamondi ni Kocha mwenye kiburi mno na ambaye ameendelea kung'ang'ania misimamo ya kijinga ambayo imeendelea kuigharimu Yanga

Nani asiyefahamu Aziz Ki ameshuka kiwango tangu msimu huu uanze?,Ina maana Gamondi hilo halioni?,Kama siyo kiburi ni nini?Aziz Ki anacheza kila mechi Kwa ulazima gani?,Je Yanga Haina namba 10?,Je Pacome na Chama wapo Yanga Kwa kazi gani?
Anaumia Aziz Andambwile unamrudisha Aucho acheze kama Beki!,hivi hata kama Mimi siyo Kocha,Je hivyo ndivyo inakuwaga?,Huyu Kocha katokea wapi?Nilitegemea amuingize Kibwana Shomari halafu atoe Aziz Ki aingie Duke Abuya ili kubalansi timu kwenye ukabaji na uzuiaji ila yeye akafanya anayoyajua yeye!

Ukiachia mbali wachezaji waliokuwa majeruhi ambao Jana hawajacheza lakini unaona kabisa kocha Hana Mbinu mbadala za kuifanya timu ishinde!,huyu huyu kocha ndiye tunaenda nae ligi ya mabingwa?,Kwa ufundishaji huu ni hakika Yanga anaenda kuvuta mkia kwenye Kundi lake!

Najua mashabiki hoya hoya mtanishambulia lakini huu ndiyo ukweli,ukubali ama ukatae!

Huyu Gamondi alimkataa Kocha wa Viungo wa Yanga Youssef Ammar bila sababu za Msingi,Kocha wa Viungo Youssef Ammar alikuwa kocha wa Viungo ambaye aliwajenga wachezaji wa Yanga wakawa na stamina ya Hali ya Juu,angalia Leo wachezaji walivyo magoigoi utadhani huwa hawafanyi mazoezi,yaani hata kukimbia tu wamekuwa wazito utadhani wamefungiwa mawe miguuni!

Aliwahi kusema kocha Youssef Ammar ya kwamba " Kuna uwezekano mkubwa nikaondoka Yanga, lakini Sababu kubwa ikiwa ni Kocha Gamondi,sielewi nini shida lakini yeye ameutaka uongozi niondoke.Nipo tayari kuondoka kama viongozi watakuwa tayari Kwa hilo na siwezi kumsujudia mwanadamu Kwa Sababu ya kazi"

Hadi Leo ninabaki kushangaa ni kwanini Gamondi hakumtaka kocha wa Viungo ambaye aliifanya Yanga Kuwa hatari Kwa fitness?

Gamondi ni mbinafsi sana na ni Kocha mwenye kujiona kila kitu anaweza kukifanya yeye Pasipo uhitaji wa watu wengine,huu ujinga na Ujuaji Sasa ndiyo unamgaharimu na unaenda kuizamisha Yanga!

Baada ya hapo akapendekeza aletewe kocha wa Viungo mwingine, viongozi bila kutilia shaka hila yake Kwa Youssef Ammar wakaamua kumletea kocha huyo,tangu aletwe huyo kocha mpya wa Viungo aitwaye Taibi Lagrouni ni kama wachezaji hali zimepungua na kukosa kabisa fitness!

Kila siku wachezaji wanamejeraha bila sababu za Msingi,sijajua huyo kocha wa Viungo anafanya kazi gani!

Yaani wachezaji hawana fitness ya kutosha,ni kama hawali wakashiba,Aziz Ki ameshuka kiwango yawezekana kabisa sababu zikawa ni Kocha wa Viungo (Hizo sababu nyingine za uswahilini sidhani kama Zina mashiko)

Aziz Ki alichokosa msimu huu ni Fitness tu hakuna kingine,na huu Ujuaji ni kwasababu hakuna kocha kwenye benchi anayeweza kumshauri Gamondi anayeonekana anakichwa kigumu kushaurika kama kambale!

Viongozi wa Yanga ikiwemo Rais wa Yanga,nakuomba huyo Gamondi mfikie makubaliano kabla Hali haijawa mbaya zaidi,siyo kwamba ninachuki binafsi na Gamondi,Bali inapaswa atupishe Yanga ili tuendelee na Project ambayo yeye Kwa Ubinafsi wake anataka kuififisha!

Gamondi kwasasa Hana Mbinu mbadala za kuipatia Yanga ushindi,upangaji wake wa kikosi wapinzani wameshaukariri na ndiyo maana anapokea vipigo!,Msipomfukuza huyo Kocha mtashituka Yanga Yuko nafasi ya 5 au 6,sioni Yanga ikishika hata nafasi ya 3 kama Gamondi ataendelea Kuwa kocha wa Yanga!

Yangu ni hayo tu Kwa Leo!

Matusi na kejeli nimeviandalia gunia la kilo 100,vikijaa napelekea kumwaga chooni รฑarudi kutega tena!
Mhhhhhhh ๐Ÿค”
 
Nov 2, 2024
18

nikweli kibwana shomari alipaswa kuingia
 
Nov 2, 2024
18
5
5
Binafsi Aziz ki hatufai cc yanga ameshuka kiwangoo haiwezekani timu ipo nyuma kwa bao moja upige penalty kama ile anatakiwa kuachwa kwa sasa