Comed zimekuwa too much kiasi cha kukinaisha. Hatukatai hili soka ni mchezo wa furaha na hamasa, hatukatai moja kati ya jukumu lenu ni kutia hamasa. Lakini kinachoendelea sasa kwa wasemaji hawa ni utoto. Hizo club zinafuatiliwa na watu wengi duniani kote, sasa kuleta masihara hata mnapokuwa kwenye media kuzisemea clubs, sio sawa!
Hakuna tofauti ya kumsikiliza comedian Tx Dula au Leonardo na Ahmed Ally na Ally Kamwe. Unajiuliza hawa ni wasemaji wa timu au comedians wa timu Unamkuta Ally Kamwe anafanyia jokes wachezaji wa Simba, huu ni upuuzi wa kutia kinyaa.