Yanga inachukua pointi tatu kwa tabu sana

Kriss

Mgeni
Nov 4, 2022
102
138
5
Yanga wanashida kwenye match ya 3 sasa ila ushindi wake unatafutwa kwa shida kama wanacheza na timu ngumu lakini ni hizi hizi timu za ndani shida ni nini na usajili umefanyika, Winga zote hazimwagi maji Kwa Musonda na Mayele inabidi washuke chini sana kufata mipira.

Kuna kitu Yanga wanakikosa viungo wa pasi za mwisho kwa washambuliaji, winga zenye za kisasa Kocha anaona hili wanapaswa kuingia tena sokoni msimu ujao timu inamapungufu bado.

Kwanza kabisa winga wa pembeni hakuna, Kisinda na Moloko sio wachezaji wa kucheza Yanga wanaenda kimataifa zitapatikana nafasi moja au mbili tu za kupata ushindi, unadhani kisinda au moloko atatupatia goli? Kama Moloko hakuna mchezaji pale siku zote huwa nasema nimchezaji wa timu ndogo sio Yanga.

Ruvu wanapambana Sana Kama ligi ingekuwa hivi tungekua mbali sana na bora hata kimataifa shida ya hizi timu ndogo vinakamia mechi moja tu haswa kwenye hizi timu kubwa Simba, Yanga na Azam

Clement Mzize awe makini mazoezini na awafuatishe maelekezo ya makocha na benchi la ufundi akubali kujifunza kwa wachezaji wenzake hasa waliomzidi! anatakiwa kujua mpira una vitu viwili uwanjani Nguvu na Akili panapo hitajika nguvu atumie na panapo hitajika akili vilevile azitumie.

Timu ijitafakari kuelekea shirikisho Kwa namna hii ya uchezaji nafasi ya Tatu itawahusu kwenye kundi kama wasipobadilika kiuchezaji TP Mazembe, watunisia watakuja Kwa mkapa kupaki basi wapate sare na hawatakuwa na makosa ya fikirini bakari mwashilimbi au pengine watufunge kabisa benchi la fundi, timu inakosa creativity Kwa timu zinazopaki basi kiuhalisia Yanga hakuna namba 8 halisia mwenye uwezo wakupiga pasi za mwisho za hatari na kufungua ukuta uliojificha wasipofanya mabadiliko wasitegemee maajabu ya Club African.

Yanga 1-0 Ruvu shooting
1674540051784.png
 

Lukac

Mgeni
Nov 4, 2022
120
83
5
Moloko hakuna mchezaji pale siku zote huwa nasema nimchezaji wa timu ndogo sio klabu kubwa kama yanga
 

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Game ilikuwa nzuri Yanga alitawala mpira bado ntakuja palepale mechi ya Pili Sasa Mudafiri anaamua mipira isivuke Nyuma yake japo tofauti ya Jana kidogo amepoteza pasi baada ya kukaba vizuri mipira kadhaa aliipoteza.

Mwalimu ana kazi upande wa mashambulizi Yanga amekuwa na ukame wa magoli muda Sasa anashinda moja au mbili Sana amefululiza moja hii inampa Mwalimu kazi ya kuiweka sawa forward yake.

Jana kacheza 4 4 2 lakini haijaleta majibu mpaka tunaona goli anajifunga mtu baada ya kiungo kupiga pasi ya kichokozi pale Kati huwezi SEMA washambuliaji wa Yanga wabovu hapana Ila Mwalimu lazima akae nao vizuri Ila Yanga upande wa pembeni haiko vizuri muda mrefu hajapata mawinga wale wenyewe kabisa.
 
  • Like
Reactions: Azizi

Azizi

Mgeni
Dec 13, 2022
38
26
5
akindelea kucheza mpila kama wajana hata huko kwenye kombe lashikisho mapema tu tusha tolewa siyoni timu kufika mbali kama shabiki wa yanga
 


Andika ujumbe wako...