Ugonjwa wa Yanga na mipira iliyokufa umefikia kwenye stage ya aibu. Kwa timu kubwa huwezi kuwa unaruhusu magoli ya namna hii kila kukicha.
Speed ya Yanga kwenye kutengeneza mashambulizi ni ndogo sana
Kazi kubwa inahitajika benchi la ufundi sehemu ya kiungo na kufanya marking katika kona na faulo.
Team iko too relaxed kuruhusu magoli ya kona na faulo.
Yanga bado kunatatizo katika eneo zima mpira ya kona angalia mechi na Mounastir, Bamako na mechi ya leo na Prisons yaan ni poor marking
Zaid kocha aliangalie hili kwa ukubwa wake maana itakuja kuigharimu timu hususa katika mashindano haya ya kimataifa maana kuna wachezaji wazuri zaidi na wenye uzoefu kocha ANGALIA NAMNA Ya Kuzuia MPIRA YA KONA!!
Nngependa Juma Shabani na Shomar Kibwan waanze wote ule upande ili kuweka uwiano wa kutengeneza mashambulizi
Naaaaam uyu Clement Yanga wahakikisheni wanamtunza na kumpa mkataba mapema asije mbele yakatokea ya Fei