Yanga SC vs Tabora United | Yanga Inawakosa Hawa Hapa Leo

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
484
641
125
Yanga kwa mara ya kwanza msimu huu, inashuka uwanjani katika Ligi Kuu bila ya mabeki wawili wa kati, Dickson Job na Ibrahim Bacca, itakapoikabili Tabora United yenye kocha mpya aliyewahi kuwanoa mastaa wa DR Congo akiwamo Maxi Nzengeli, Ellie Mpanzu, huku timu hiyo ikitamba itatonesha kidonda.
.
Mabeki hao wanatumikia adhabu ya kadi, huku Yanga ikitoka kupoteza mechi iliyopita mbele ya Azam FC, Bacca alilimwa kadi nyekundu katika mchezo huo, wakati Job anatumikia adhabu ya kadi tatu za njano.
.
Yanga itakuwa wenyeji wa Tabora kwenye Uwanja wa Azam Complex, itawakosa mabeki hao walioanza kwa pambano katika mechi sita kati ya nane bila kuruhusu bao katika Ligi, lakini ikikutna na timu iliyotoka kushinda michezo miwili mfululizo dhidi ya Pamba Jiji na Mashujaa yote yakifungwa na Morice Chukwu.
.
Kukosekana kwa Job na Bacca, moja kwa moja kunatoa nafasi kwa nahodha wa Yanga, Bakari Mwamnyeto pamoja na Aziz Andabwile kupewa nafasi kubwa ya kuziba mapengo hayo.

Utakua Mchezo Wa Aina Gani? Kuna Magoli Mangapi Leo?
 
  • Like
Reactions: mwakyusa
Jun 11, 2024
13
5
5
Nadhani kila mchezaji atakaye aminiwa na mwalimu atafanya vizuri,tuna kikosi kikubwa ni kweli waliokosekana ni mihimili ya timu ila hata watakaopangwa leo wana ubora unaokaribia na watakaokosekana
Naimani na kikosi changu ,tutatoboa inshallah
Daima mbele nyuma mwiko
 
Pet.daudi

Mgeni
Oct 19, 2024
10
4
5
YANGA BINGWAAAAAAAAA 🗣️🗣️🗣️💚💚💚💚

Haijalishi mchezo utakuwaje hata Kama tutapotezaa bado tuna nafasi ya kufanya vizurii
Kupoteza mchezo sio kupoteza ubingwaa
Sio kwamba tutapotezaa😂😂😂😂 usielewe vibayaa
 
mastercholo

Mgeni
Oct 6, 2024
2
1
5
Yanga kwa mara ya kwanza msimu huu, inashuka uwanjani katika Ligi Kuu bila ya mabeki wawili wa kati, Dickson Job na Ibrahim Bacca, itakapoikabili Tabora United yenye kocha mpya aliyewahi kuwanoa mastaa wa DR Congo akiwamo Maxi Nzengeli, Ellie Mpanzu, huku timu hiyo ikitamba itatonesha kidonda.
.
Mabeki hao wanatumikia adhabu ya kadi, huku Yanga ikitoka kupoteza mechi iliyopita mbele ya Azam FC, Bacca alilimwa kadi nyekundu katika mchezo huo, wakati Job anatumikia adhabu ya kadi tatu za njano.
.
Yanga itakuwa wenyeji wa Tabora kwenye Uwanja wa Azam Complex, itawakosa mabeki hao walioanza kwa pambano katika mechi sita kati ya nane bila kuruhusu bao katika Ligi, lakini ikikutna na timu iliyotoka kushinda michezo miwili mfululizo dhidi ya Pamba Jiji na Mashujaa yote yakifungwa na Morice Chukwu.
.
Kukosekana kwa Job na Bacca, moja kwa moja kunatoa nafasi kwa nahodha wa Yanga, Bakari Mwamnyeto pamoja na Aziz Andabwile kupewa nafasi kubwa ya kuziba mapengo hayo.

Utakua Mchezo Wa Aina Gani? Kuna Magoli Mangapi Leo?
Ni atafungwajeeeeeee tena na leo
 
Gittu A

Mgeni
Nov 7, 2024
6

Tunashinda tu
 
chuaboy

Mgeni
Jul 17, 2024
5
1
5
simba ilipofungwa na Yanga goli tano timu ndogo zote zikaiona simba kibonde zikawa zinataka zichukue pointi every match,,,,,,kwa sasa yanga wameingia kwenye mfumo baada ya kubamizwa na familia ya Bakhresa ......what next hata kama sio mechi hii ya leo kuna mechi uko mbele asipojitathimin ataangusha pointi na pia droo zitaanza kumnyemelea
 
  • Like
Reactions: emanardo46