Yanga vs Ihefu 1-0 Kilichojiri kwa mkapa

sharon

Mgeni
Nov 4, 2022
105
89
5
Mchezo ulikua mgumu kwa Yanga kwasababu ya ukosefu wa baadhi ya wachezaji muhimu. Kikosi kilikua hakina Azizi KI, Morrison, Bangala, Aucho yani key players hawapo lakini timu inashinda tena inakamiwa na kupata ushindi kwa tabu sana.

Wachezaji wasipokuwepo wanampa Nabi mzigo mkubwa hebu viongozi wajaribu kuangalia namna kocha anahangaika kupata matokeo ambayo yangepatikana kwa baadhi ya wachezaji ambao hawapo kwenye kikosi mwoneeni huruma kocha.

Ushindi wa Yanga Jana chanzo kikubwa alikuwa mtu pekee au uwezo wa Mudathiri kiungo mkabaji aliweza kupokonya mipira na kuiachia kwa haraka kitu ambacho kiliifanya Yanga ikae mda mwingi na mpira na isishambuliwe Sana

Liko wazi kila mtu aliona hili. Hata isingefanyika sub Jana Yanga bado alikuwa na uwezo wa kushinda sababu moja wapo ni kuwa IHefu walimruhusu Sana Mayele achukue mipira ageuke apige

Na Mayele Ni Mfungaji anaweza kukukosa Tisa akakufunga moja so kwa mtu Kama Mayele kumuacha apige mashuti langoni kwako jua tu atakufunga kwa Hali yoyote na goli la Aina yoyote ile.

Yanga wanahitaji winga inatakiwa wapate mawinga wawili wenye nguvu achana na Moloko, Kisinda na Morisoni inatakiwa kuachana nao maana ndio udhaifu wao na Imani kocha Nabi analiona hili.

Ihefu tunapongeza pia juhudi zao wakipata kocha anayeweza attacking football watakua hatari kwenye ligi kwa leo well done Yanga imeonekana ya kawaida hawana umakini kwenye attacking haswa eneo la mwisho ukosefu wa "Aziz KI", Mayele anapambana sana na amekuwa mchezaji muhimu sana kwa timu mpakaa sasa.
1673939610491.png
 
Kriss

Mgeni
Nov 4, 2022
102
138

View attachment 1043
Huna short on target hata moja halafu tuwapongeze kwa lipi...kuna mda wanapoka mpira mbele wako watatu dhid ya mabeki wawili na bado wanashindwa kutengeneza nafasi..yan haikuwa team ambayo labda ungeiona inatafuta goli...kwangu mimi poor performance
 
  • Like
Reactions: McRay

jamal

Mgeni
Nov 4, 2022
148
90
5
Mchezo ulikua mgumu kwa Yanga kwasababu ya ukosefu wa baadhi ya wachezaji muhimu. Kikosi kilikua hakina Azizi KI, Morrison, Bangala, Aucho yani key players hawapo lakini timu inashinda tena inakamiwa na kupata ushindi kwa tabu sana.

Wachezaji wasipokuwepo wanampa Nabi mzigo mkubwa hebu viongozi wajaribu kuangalia namna kocha anahangaika kupata matokeo ambayo yangepatikana kwa baadhi ya wachezaji ambao hawapo kwenye kikosi mwoneeni huruma kocha.

Ushindi wa Yanga Jana chanzo kikubwa alikuwa mtu pekee au uwezo wa Mudathiri kiungo mkabaji aliweza kupokonya mipira na kuiachia kwa haraka kitu ambacho kiliifanya Yanga ikae mda mwingi na mpira na isishambuliwe Sana

Liko wazi kila mtu aliona hili. Hata isingefanyika sub Jana Yanga bado alikuwa na uwezo wa kushinda sababu moja wapo ni kuwa IHefu walimruhusu Sana Mayele achukue mipira ageuke apige

Na Mayele Ni Mfungaji anaweza kukukosa Tisa akakufunga moja so kwa mtu Kama Mayele kumuacha apige mashuti langoni kwako jua tu atakufunga kwa Hali yoyote na goli la Aina yoyote ile.

Yanga wanahitaji winga inatakiwa wapate mawinga wawili wenye nguvu achana na Moloko, Kisinda na Morisoni inatakiwa kuachana nao maana ndio udhaifu wao na Imani kocha Nabi analiona hili.

Ihefu tunapongeza pia juhudi zao wakipata kocha anayeweza attacking football watakua hatari kwenye ligi kwa leo well done Yanga imeonekana ya kawaida hawana umakini kwenye attacking haswa eneo la mwisho ukosefu wa "Aziz KI", Mayele anapambana sana na amekuwa mchezaji muhimu sana kwa timu mpakaa sasa.
View attachment 1043
Yani utopolo hawana timu imara wanabebwa na makosa ya makipa tu.... Poit 12 wanapata kwa makosa ya makipa
 
  • Like
Reactions: McRay

McRay

Mgeni
Nov 4, 2022
185
131

Ni wazi ...pengo lilikuwa wazi kuwakosa wachezaji kadhaa.
Hatujacheza vizuri
 
Nabi

Mgeni
Nov 4, 2022
121
124

Hongera kwa ushindi laini Ninauhakika kama pangekuwa na namba 10 mzuri jana sio chinin ya goli 3 zingepatikana
 
Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam

Mayelee🔥🔥🙌
 
Mgunda Zone

Mgeni
Nov 4, 2022
83
88

makipa wa bongo ni wazembe sana