Mchezo ulikua mgumu kwa Yanga kwasababu ya ukosefu wa baadhi ya wachezaji muhimu. Kikosi kilikua hakina Azizi KI, Morrison, Bangala, Aucho yani key players hawapo lakini timu inashinda tena inakamiwa na kupata ushindi kwa tabu sana.
Wachezaji wasipokuwepo wanampa Nabi mzigo mkubwa hebu viongozi wajaribu kuangalia namna kocha anahangaika kupata matokeo ambayo yangepatikana kwa baadhi ya wachezaji ambao hawapo kwenye kikosi mwoneeni huruma kocha.
Ushindi wa Yanga Jana chanzo kikubwa alikuwa mtu pekee au uwezo wa Mudathiri kiungo mkabaji aliweza kupokonya mipira na kuiachia kwa haraka kitu ambacho kiliifanya Yanga ikae mda mwingi na mpira na isishambuliwe Sana
Liko wazi kila mtu aliona hili. Hata isingefanyika sub Jana Yanga bado alikuwa na uwezo wa kushinda sababu moja wapo ni kuwa IHefu walimruhusu Sana Mayele achukue mipira ageuke apige
Na Mayele Ni Mfungaji anaweza kukukosa Tisa akakufunga moja so kwa mtu Kama Mayele kumuacha apige mashuti langoni kwako jua tu atakufunga kwa Hali yoyote na goli la Aina yoyote ile.
Yanga wanahitaji winga inatakiwa wapate mawinga wawili wenye nguvu achana na Moloko, Kisinda na Morisoni inatakiwa kuachana nao maana ndio udhaifu wao na Imani kocha Nabi analiona hili.
Ihefu tunapongeza pia juhudi zao wakipata kocha anayeweza attacking football watakua hatari kwenye ligi kwa leo well done Yanga imeonekana ya kawaida hawana umakini kwenye attacking haswa eneo la mwisho ukosefu wa "Aziz KI", Mayele anapambana sana na amekuwa mchezaji muhimu sana kwa timu mpakaa sasa.