kwa upande wangu mchambuzi bora ni godlisten muro.Hatukatai kwamba mpira wa miguu Tanzania umekua na wachambuzi wengi wa soka ambao kwa namna moja au nyingine wamekua wakinogesha na kutufafanulia mambo mengi ambayo yanahusu mpira wa miguu wa Tanzania na nje ya Tanzania
Wewe mwana Kijiweni Yupi Mchambuzi Wako Bora Wa Mpira Wa Miguu Tanzania? Ukikutana Nae Utamshauri Nini?