Mwana Kijiweni...
Bila shaka kama ni mfuatiliaji wa soka Kuna mabeki kadha wa kadha ambao wamepita kwenye Ligi Kuu ya Tanzania ambao wamekua na Sifa mbalimbali mpaka hivi sasa
Kwako wewe ukipewa nafasi ya Kutoa Tuzo ya Beki Katili zaidi kuwahi kucheza Ligi Kuu ya Tanzania unampa nani Tuzo hiyo?