Zambia 0 Tanzania 1 Mchezaji Gani Amekuvutia Katika Mchezo Huu?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
489
643
125
Mchezo wa kufuzu kombe la dunia Kwa Bara la Afrika Umemalizika Kwa Tanzania kuondoka na Ushindi wa goli 1 Kwa sifuri wakiwa ugenini katika Mchezo Dhidi ya Zambia

Upangaji wa kikosi lakini pia na Ushindi wa Leo mchezaji gani amekuvutia katika kuipambania timu Leo?
 
Nasry

Mgeni
Jun 11, 2024
2
2
5
Ally salim🔥😎pure talent🙌🏽 hivi yule copro baka namuona mwenyewe au?🫡 naendelea kusema na nitaendelea kusema adolf mtasigwa yule jamaa ni mtu na nusu🙌🏽 anarahisisha sana game na anacheza basics sana 🙌🏽🔥
 
0712500607

Mgeni
Jun 11, 2024
4
3
5
Mchezo wa kufuzu kombe la dunia Kwa Bara la Afrika Umemalizika Kwa Tanzania kuondoka na Ushindi wa goli 1 Kwa sifuri wakiwa ugenini katika Mchezo Dhidi ya Zambia

Upangaji wa kikosi lakini pia na Ushindi wa Leo mchezaji gani amekuvutia katika kuipambania timu Leo?
 
  • Like
Reactions: Kijiweni