Mchezo wa kufuzu kom
Ali SalimMchezo wa kufuzu kombe la dunia Kwa Bara la Afrika Umemalizika Kwa Tanzania kuondoka na Ushindi wa goli 1 Kwa sifuri wakiwa ugenini katika Mchezo Dhidi ya Zambia
Upangaji wa kikosi lakini pia na Ushindi wa Leo mchezaji gani amekuvutia katika kuipambania timu Leo?