𝐌𝐚𝐧𝐜𝐡𝐞𝐬𝐭𝐞𝐫,𝐄𝐧𝐠𝐥𝐚𝐧𝐝
Manchester United tayari imefanikiwa kuwaongezea kandarasi wachezaji wao Marcus Rashford, Diogo Dalot, Fred huku pia wakiangalia uwezekano wa kumsajili mshambuliaji wa PSV raia wa Uholanzi, Cody Gapko katika kipindi hiki cha dirisha dogo