Ujumbe wa wanachama

Wana kijiweni mnaendeleaje? Nina swali kidogo=kwanini timu za bongo zinapokezana kila kitu mfano ubingwa,ubora wa timu,ubora wa wachezaji? na timu itakayokuwa vzr sana ndio itwae kila tunzo?? Mambo haya yapo toka muda sana sasa kwanini iwe hivo