FT : Kagera Sugar FC 2 Simba SC 5 | Mmeunaoje Mchezo Wa Leo Wana Kijiweni

Tyseem

Mgeni
May 22, 2024
8
3
5
Kwenye ligi hii labda angekuwepo kasongo yeye kidogoo angejitahid kkutuzuia🤣
Ila hawa wengne wte n kipigo tyu
 

Muddy Nakua

Mpiga Chabo
Aug 15, 2024
7
0
0
Kagera Sugar wakiwa katika uwanja wa nyumbani wanakubali kichapo cha bao 5 kwa 2 kutoka kwa Simba Sc
Mmeunaoje Mchezo Wa Leo Wana Kijiweni

Wafungaji wa MAGOLI

⚽ Kapombe
⚽ Ahoua
⚽ Ngoma
⚽⚽ Mukwala
⚽ Datius
⚽ Mkandala
Kazi mzri sana. Game plan ya coach n mzri