FT : Kagera Sugar FC 2 Simba SC 5 | Mmeunaoje Mchezo Wa Leo Wana Kijiweni

Davis

Mpiga Chabo
Dec 21, 2024
1
0
0
Kwa kweli simba kazngua leo so siri, alaf zile sub za kutoa ngoma na mavambo hazikuwa na umuhimu, maana baada ya sub zile eneo la kati liliishiwa nguvu
 
May 9, 2024
4
1
5
Yale magoli tuliyofungwa ya kizembe... Moja Captain aliingia sana ndani akasahau pembeni mlango uko wazii, na la pilli simlaumu camara pengine hakuwa kwenye angle ya kuona mpira ndo maana likawa goli lakini nimeona mwisho wa game hana raha najua atalifanyia kazi spider man... Kwa man of the match honestly Chasambi, kaingia kama sub katoa assist 3 (hatassist-trick), Mutale kocha anampenda sana na anampa game ajifute kwa mashabiki lakini pengine presha ni kubwa labdaa aanze then arudi bench naona akiingia kutoka benchi mashabiki wote tushajua ataanguka, atahola au atatoa pasi fyongo, though leo ka improve kuna pasi mbili tatu alikuwa kafungua macho safi...
Kule kwa Ngoma yule jamaa kama nabii, kocha hakupenda tabia ya kusema goli tano leo akaona ampumzishe sema ilituuma sana kumtoa mpanzu mapema huyu mwamba ananikumbusha enzi za Miqqueson na chama pale msimbazi! Wasimuumize tuu....
Mmeona kwa mzamiru palivyowaka leo?? Yule nani yuleeee alimchungulia kipa kakaa mbele akanyanyua mkwaju mrefu mpaka kipa akamind akaanza kuongea na ball, sema wamempa man of the match sina lawama kwa sababu ameanza game kama Chasambi angeanza uenda ikawa angekuwa man of the match!!!
Kule kwa kasongo yeeeyeee mongai nangaaa (Kijili) sina nomah nae game kama hizi aachiwe tuu watu wafukuze upepo!
Mwanangu sana Striker refu kuliko goaal mzee wa waaaaaah leo katufurahisha na kajisafisha na hapo bado hatujampeleka kwenye maombi ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€dadeeeek


Acha mtaa uendelee kuongea! Ndo tunaenda zetu kuvimba tunywe tuwake kesho ibada mapemaaaaa...