TABIRI MATOKEO Na IDADI YA MAGOLI Leo JKT Tanzania vs Yanga | Meja Generali Isamuhyo stadium | Ligi Kuu NBC | 10.2.2025

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
547
714
125
Mabingwa wa muda wote wa ligi ya Tanzania Bara, Mabingwa watetezi wa ligi kuu msimu huu na vinara wa ligi YOUNG AFRICANS SC watashuka dimbani leo majira ya saa 10 za jioni ugenini kuwakabili JKT TANZANIA katika dimba la Meja Jenerali Isamhyo.

Je, Yanga kuendelea kujichimbia kileleni wa msimamo? usikose kufuatilia mtanange huu wa kukata na shoka, na ambatana nami katika uzi huu kukuletea "updates" mwanzo hadi mwisho wa mchezo huu.
 
Daniel Twara

Mgeni
Jan 27, 2025
3
1
5

5 Kwa yanga 0 kwa jkt
 
Hamisi Omary Ruwa

Mpiga Chabo
Feb 10, 2025
1
0

4