Mabingwa wa muda wote wa ligi ya Tanzania Bara, Mabingwa watetezi wa ligi kuu msimu huu na vinara wa ligi YOUNG AFRICANS SC watashuka dimbani leo majira ya saa 10 za jioni ugenini kuwakabili JKT TANZANIA katika dimba la Meja Jenerali Isamhyo.
Je, Yanga kuendelea kujichimbia kileleni wa msimamo? usikose kufuatilia mtanange huu wa kukata na shoka, na ambatana nami katika uzi huu kukuletea "updates" mwanzo hadi mwisho wa mchezo huu.