Hichi ndicho wanacho pambania sasaivi De gea kushusha mshahara wake inawezekana? ni mtihani sana kwakweli
Tony Coton alisema "Skauti Mkuu wa United amekua akisafiri uko ulaya kote kuangalia chaguo la kwanza kwa David de Dea ambaye yuko kwenye mazungumzo ya kuongeza mkataba kwa masharti yakupungiziwa Mshahara wake."
Na kocha Erik Ten Hag ameiambia klabu kuwa hataki suluhu la bei nafuu ambalo litapunguza tu bajeti yake ya matumizi katika nyadhifa nyingine. Ndio maana Dubravka aliajiriwa kama mchezaji wa mkopo, na nafasi yake ikachukuliwa na kipa mwingine aliyeazima wakati huu, Jack Butland.