Mimi nilichokiona Jana nje ya Manula kupoteza cleen sheet ya Nne mfululizo Tena kwa uzembe wake yeye mwenyewe.
Bado Simba Jana imeshinda kwa bahati Ila mpira mbovu Sana uliochezwa Jana na unasababishwa na Aina ya mpira ambao Mwalimu anataka
Kocha anataka mpira wa Kasi na Simba inawachezaji wanaopozesha mpira Kama chama na wengine mpira wa Kasi anaoutaka Mwalimu huwezi kuuona pale Simba ndiyo Mana Jana Simba ilikatika kila eneo kulikuwa kweupe.
Tumpe pongezi Saidoo mechi mbili goli tano assist mbili ameweza kwakweli usajiri mzuri Sana utaibeba Simba
Ila Mwalimu akifika Pasaka sijui namuona mpira anaoutaka Mimi sioni Aina ya wachezaji ambao watampa huo mpira huyo Kibu Ni Mzuri mazoezini tu.