Simba vs Mbeya City kocha mpira anaoutaka hauwezi kua Simba

Mgunda Zone

Mgeni
Nov 4, 2022
83
88
5
Mimi nilichokiona Jana nje ya Manula kupoteza cleen sheet ya Nne mfululizo Tena kwa uzembe wake yeye mwenyewe.

Bado Simba Jana imeshinda kwa bahati Ila mpira mbovu Sana uliochezwa Jana na unasababishwa na Aina ya mpira ambao Mwalimu anataka

Kocha anataka mpira wa Kasi na Simba inawachezaji wanaopozesha mpira Kama chama na wengine mpira wa Kasi anaoutaka Mwalimu huwezi kuuona pale Simba ndiyo Mana Jana Simba ilikatika kila eneo kulikuwa kweupe.

Tumpe pongezi Saidoo mechi mbili goli tano assist mbili ameweza kwakweli usajiri mzuri Sana utaibeba Simba

Ila Mwalimu akifika Pasaka sijui namuona mpira anaoutaka Mimi sioni Aina ya wachezaji ambao watampa huo mpira huyo Kibu Ni Mzuri mazoezini tu.

1674117932066.png
 
jamal

Mgeni
Nov 4, 2022
148
90

View attachment 1054
kiwango kilicho onyeshwa na tim yetu kiukweli timu yetu leo imecheza hovyo sana kiasi kwamba unaweza sema wale mbeya city ndio simba na simba ndio mbeya city tim haikuwa na kiwango bora hata kidogo sasa kama tutaendelea hivi kweli tutafika??nashindwa kuelewa huyu kocha ndio tatizo au wachezaji wenyewe ndio tatizo?
 
  • Like
Reactions: Lukac

Lukac

Mgeni
Nov 4, 2022
120
83
5
kiwango kilicho onyeshwa na tim yetu kiukweli timu yetu leo imecheza hovyo sana kiasi kwamba unaweza sema wale mbeya city ndio simba na simba ndio mbeya city tim haikuwa na kiwango bora hata kidogo sasa kama tutaendelea hivi kweli tutafika??nashindwa kuelewa huyu kocha ndio tatizo au wachezaji wenyewe ndio tatizo? Aaaah inawezekana wachezaji wakawa bado wanauchovu na safar kwa sababu masaa 9 angani sio mchezo
Aaaah inawezekana wachezaji wakawa bado wanauchovu na safar kwa sababu masaa 9 angani sio mchezo
Then istoshe unafika umechoka then unapumzika siku 1 Kisha mechi
Pia kumbuka wametoka kwenye friend matchs ambazo zilikua ngumu
 
  • Like
Reactions: Mgunda Zone

Zaka

Mgeni
Dec 13, 2022
43
27
5
Mimi nilichokiona Jana nje ya Manula kupoteza cleen sheet ya Nne mfululizo Tena kwa uzembe wake yeye mwenyewe.

Bado Simba Jana imeshinda kwa bahati Ila mpira mbovu Sana uliochezwa Jana na unasababishwa na Aina ya mpira ambao Mwalimu anataka

Kocha anataka mpira wa Kasi na Simba inawachezaji wanaopozesha mpira Kama chama na wengine mpira wa Kasi anaoutaka Mwalimu huwezi kuuona pale Simba ndiyo Mana Jana Simba ilikatika kila eneo kulikuwa kweupe.

Tumpe pongezi Saidoo mechi mbili goli tano assist mbili ameweza kwakweli usajiri mzuri Sana utaibeba Simba

Ila Mwalimu akifika Pasaka sijui namuona mpira anaoutaka Mimi sioni Aina ya wachezaji ambao watampa huo mpira huyo Kibu Ni Mzuri mazoezini tu.

View attachment 1054
Kocha namuelewa sana anaoneka mtu wa mbinu tumpe mda
 
Mgunda Zone

Mgeni
Nov 4, 2022
83
88
5
Aaaah inawezekana wachezaji wakawa bado wanauchovu na safar kwa sababu masaa 9 angani sio mchezo
Then istoshe unafika umechoka then unapumzika siku 1 Kisha mechi
Pia kumbuka wametoka kwenye friend matchs ambazo zilikua ngumu
sidhan ndio maana wakaonyesha kiwango kibovu namna ile?
 
Joan

Mgeni
Dec 13, 2022
24
12
5
Mimi nilichokiona Jana nje ya Manula kupoteza cleen sheet ya Nne mfululizo Tena kwa uzembe wake yeye mwenyewe.

Bado Simba Jana imeshinda kwa bahati Ila mpira mbovu Sana uliochezwa Jana na unasababishwa na Aina ya mpira ambao Mwalimu anataka

Kocha anataka mpira wa Kasi na Simba inawachezaji wanaopozesha mpira Kama chama na wengine mpira wa Kasi anaoutaka Mwalimu huwezi kuuona pale Simba ndiyo Mana Jana Simba ilikatika kila eneo kulikuwa kweupe.

Tumpe pongezi Saidoo mechi mbili goli tano assist mbili ameweza kwakweli usajiri mzuri Sana utaibeba Simba

Ila Mwalimu akifika Pasaka sijui namuona mpira anaoutaka Mimi sioni Aina ya wachezaji ambao watampa huo mpira huyo Kibu Ni Mzuri mazoezini tu.

View attachment 1054
Huyo kocha kwangu mimi asepe tu ndo mfumo gan huo kaja nao litim ht halielewek AENDE
 
Bangala

Mgeni
Dec 13, 2022
39
24
5
Mimi nilichokiona Jana nje ya Manula kupoteza cleen sheet ya Nne mfululizo Tena kwa uzembe wake yeye mwenyewe.

Bado Simba Jana imeshinda kwa bahati Ila mpira mbovu Sana uliochezwa Jana na unasababishwa na Aina ya mpira ambao Mwalimu anataka

Kocha anataka mpira wa Kasi na Simba inawachezaji wanaopozesha mpira Kama chama na wengine mpira wa Kasi anaoutaka Mwalimu huwezi kuuona pale Simba ndiyo Mana Jana Simba ilikatika kila eneo kulikuwa kweupe.

Tumpe pongezi Saidoo mechi mbili goli tano assist mbili ameweza kwakweli usajiri mzuri Sana utaibeba Simba

Ila Mwalimu akifika Pasaka sijui namuona mpira anaoutaka Mimi sioni Aina ya wachezaji ambao watampa huo mpira huyo Kibu Ni Mzuri mazoezini tu.

View attachment 1054
Kocha apewe muda