Kusema ukweli sheria ngowi kawatendea haki upande wa Third kit pekee kwa sababu hii home kit design yake ni kitenge kabisa

pia away kit kuweka namba 5 ni utoto sana umefanyika huwezi kukuta timu duniani inafanya ivi ili kuhusudu ushindi wa baadhi ya mechi tena za msimu uliopita kwenye jezi za msimu mpya,angeweka udadi ya makombe tungemuelewa.