Mmezionaje Jezi Mpya Za Wananchi Kwa Msimu Wa 2024/2025?

Pappi

Mpiga Chabo
Jul 23, 2024
5
0
0
Kusema ukweli sheria ngowi kawatendea haki upande wa Third kit pekee kwa sababu hii home kit design yake ni kitenge kabisa😔 pia away kit kuweka namba 5 ni utoto sana umefanyika huwezi kukuta timu duniani inafanya ivi ili kuhusudu ushindi wa baadhi ya mechi tena za msimu uliopita kwenye jezi za msimu mpya,angeweka udadi ya makombe tungemuelewa.